Kunguru wananinyea nyea, kulikoni?

wanakutahadharisha uspende ile michezo kwa dada zetuπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
unakaribia kufa wameshakuona mzoga mtarajiwa
 
Una mikosi tena ukichelewa uditulaumu. Inatakiwa ufunge halafu kabla ya kufungua unywe maji ysliyooshea maiti na mengine utawazie.
Kisha uchinje jogoo hslafu ule kichwa tu bila kukinyonyoa
 
Una mikosi tena ukichelewa uditulaumu. Inatakiwa ufunge halafu kabla ya kufungua unywe maji ysliyooshea maiti na mengine utawazie.
Kisha uchinje jogoo hslafu ule kichwa tu bila kukinyonyoa
Kipi ni kipi sasa? Wenine nina bahati wengine mdio kama wewe!
Nafikiri wananilia tu taimimg sasa.
 
Sasa utembee na helment bila kusahau koti
 
Bila shaka mkuu utakuwa na nyota ya KUNGURU [emoji16]
 
UMASKINI kitu kibaya sana.
Ungekuwa kwenye Benz lako haya yasingekukuta.Sa cjui umlaumu nani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…