Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Ushirikina sio suala geni katika jamii za Kiafrika. Hapa nchini kumeripotiwa matukio mbalimbali ya uganga na
uchawi, vikiwemo visa vya vifaa kukwamia migongoni mwa wezi, wengine wakiishia kula nyasi baada ya kufumaniwa
wakishirki wizi. Waganga hutumia vifaa mbalimbali majukumu yaom, kama alivyothibitisha ripota wetu Daniel Mule
aliyezuru mojawapo y`a maeneo yanayosababishwa na ushirikina nchini. Tupate mengi zaidi katika awamu ya
kwanza katika makala haya ya Kunga Za Waganga.

Pole sana,unamiss vitu vingi sana,maana uchawi nao una raha zake!MziziMkavu daah namshukuru Mungu kwa kuwa ameniepusha sana na hivyo vitu.
Kwanini waende mbali kiasi hicho wakati wakienda lyamba lya Mfipa Katavi au Gambushi mambo yatakuwa safi?
Teh teh teh!jamaa yupo vizuri wewe angalia hata sura yake,utapata majibu sahihi!Kumbe ndiyo maana Pinda anaogopewaaaaaa, ni mambo ya Katavi, eheeee? Duh, haya wapenzi wa Simba na Yanga msiopenda maendeleo ya mpira, watumieni ujumbe timu zenu za kishirikina pale Jangwani na Msimbazi pengine mtachukua ubingwa wa dunia mwakani.
Teh teh teh!jamaa yupo vizuri wewe angalia hata sura yake,utapata majibu sahihi!
Teh teh teh!fahari ya macho, mkuu Mkereketwa_Huyu jitahidi mara kwa mara kuyatendea macho yako haki yake ya msingi!TUKUTUKU acha hizoo babake, unataka nimwangalie sura nikishindwa kulala usiku je?
Teh teh teh!fahari ya macho, mkuu Mkereketwa_Huyu jitahidi mara kwa mara kuyatendea macho yako haki yake ya msingi!
Teh heh teh !angekuwa baba yangu,kwa sasa ningekuwa mtoto yatima.Wazee wa aina hiyo kwetu huwa hawabaki salama!Hivi TUKUTUKU, we ni mtoto wa Pinda nini? Mbona unataka nishindwe kulala kwa kulazimisha kumwangalia Mze wako, mnataka kunifanya nini mie mtoto wa watu jamani mbona sina shida na mtu?
Teh teh teh!fahari ya macho, mkuu Mkereketwa_Huyu jitahidi mara kwa mara kuyatendea macho yako haki yake ya msingi!
Teh heh teh !angekuwa baba yangu,kwa sasa ningekuwa mtoto yatima.Wazee wa aina hiyo kwetu huwa hawabaki salama!
Hapana mkuu,huwa tunawagongelea msumali wa nchi sita utosini!Eheeee, kuwa mnawatoa vitoweo ama?
Mkuu sasa umepitiliza mipaka,mbona mama mkapa yuko fresh?Hiki ndiyo kile kisingizo wanachotumia wazee wa kisasa kuwa na nyumba ndogo lukuki kwamba macho yameona na moyo umetamani. Mimi bwana mtu wa kutisha hata kumwangalia siwezi. Nilikuwa sinunuagi gazeti lolote ambalo lina picha ya Mama Mkapa kwenye front page labda awe kurasa za ndani tena kwa kumficha hapo ndipo nitanunua. Napenda usingizi wangu, sipendi ndoto za abunuwasi.