Hata mimi nilikuwa mpenzi saana wa hivyo vichekesho lakini kwa sasa hawakongi nyoyo kama zamani kwani mzee ojwang na mama kayaii wanaonekana kuzeeka na ile mikiki mikiki hawaiwezi tena mwala naye kaingia kwenye utu uzima na sasa anajiita inspector.Mwenye kujua historia ya kundi tajwa hapo juu tafadhali hebu atujuze. Kuna wakati niliwahi kumuona Mzee Onjwangi km amebadilika yaani c yule wa zamani,kuna watu kama Mama Kayaii,Mwara n.k. Nikundi zuri sana kwa uchekeshaji nadhani itv walikuwa wanarusha kipindi hiki lakini kwasasa sikioni. Msaada kulijua kundi hili.
Hata mimi nilikuwa mpenzi saana wa hivyo vichekesho lakini kwa sasa hawakongi nyoyo kama zamani kwani mzee ojwang na mama kayaii wanaonekana kuzeeka na ile mikiki mikiki hawaiwezi tena mwala naye kaingia kwenye utu uzima na sasa anajiita inspector.Wachekeshaji wa kenya ambao wapo chati sasa na ninawakubali kuwa wanachekesha sana na kuelimisha ni VIOJA MAHAKAMANI. hawa ni tofauti na comedy zetu za kibongo ambapo mtu anakuwa anajisifu na kuongea mwanzo mwisho bila ya kuwa na ujumbe wanaoufikisha kwenye jamii.ITV sijui kwa nini hawaonyeshi sikuhizi vioja kama hauna haunasi KBC ndo basi huwezi kuwafaidi akina OLEXANDRER na wenzake
poa dudu nashukuru kwa ushauri wa busaraMkuu Bado Unawategemea ITV hadi leo eenh! kama unapenda Burudani nunua Decoder za Maana Mkuu utayapata yote hayo ila usijitusu kununua Decoder ya Star Times Utajuta kwani badala ya kuburudisha yenyewe ika kera..! Channel za KBC utazipata kwenye DSTV na Decoder zinginezo... ITV Mwisho wa kuwa on Air ni December 31 kwa Mnaotumia Analogue Transmission Kwenye Tv Zenu.
Karibu Mkuupoa dudu nashukuru kwa ushauri wa busara
Wachekeshaji wa kenya ambao wapo chati sasa na ninawakubali kuwa wanachekesha sana na kuelimisha ni VIOJA MAHAKAMANI. hawa ni tofauti na comedy zetu za kibongo ambapo mtu anakuwa anajisifu na kuongea mwanzo mwisho bila ya kuwa na ujumbe wanaoufikisha kwenye jamii.ITV sijui kwa nini hawaonyeshi sikuhizi vioja kama hauna haunasi KBC ndo basi huwezi kuwafaidi akina OLEXANDRER na wenzake