Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Hii hali niliiona jana,kiukwel uporaj ulianzia ofis za PCCB kona ya taifa mpaka chang'ombe,kulikua na vijana wengi sanaaaaaaa,hawakua idad ndogo,walipora dhahir bila woga,inasemekana ni watoto wa temeke na keko,baada ya watu kuwa wanazid kuondoka wakawa wanapita pembezon mwa magar kuvizia za madirishani.