Kundi la vibaka wanaopora watu kwenye magari

Kundi la vibaka wanaopora watu kwenye magari

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,451
Reaction score
10,023
Wakati tunatoka taifa kuangalia mpira jioni ya leo, kulikuwa na kundi kubwa la vibaka kuanzia kona ya kutoka temeke kuja keko mpaka mataa ya chango'mbe, huku wakipora simu na vito vya thamani kwa watu waliokuwa ndani ya magari.

Yaani pale mataa ya chang'ombe kulikuwa na askari kadhaa wakiwemo trafiki ila vijana wale hawakuogopa, walifanya kile walichotaka.

Ombi langu kwa raia, tuweni makini sana tunapotoka taifa mana vijana wa maeneo hayo sio watu wazuri, pia Kamanda Kova ulinzi si uwanjani pekee, imarisha ulinzi mpaka nje ya uwanja. Ni hayo tuu.
 
Ebwana Mimi Mbona Nilikuwepo Hapo Mataa Chang'ombe Nasubiri Usafiri Wa Daladala Na Tulikuwa Watu Kadhaa Na Hatukuona Wala Kusikia Hatari Yoyote? Tulikuwa Tumesimama Hapo Stendi Ya Mabasi Iliyopo Mkabala Kabisa Na Kampuni Ya GAMBE Ya SERENGETI. au Mwenzetu Wanakudai au Umewagongea Totooz Zao?
 
hao watakuwa wahuni wa ccm ndo kazi yao kuiba
 
Mm nilikuta NAO maeneo ya kona yakuingia taifa wakimkaba sister du alokuwa akitext barabaran nikaweka Yangu kenden
 
Ebwana Mimi Mbona Nilikuwepo Hapo Mataa Chang'ombe Nasubiri Usafiri Wa Daladala Na Tulikuwa Watu Kadhaa Na Hatukuona Wala Kusikia Hatari Yoyote? Tulikuwa Tumesimama Hapo Stendi Ya Mabasi Iliyopo Mkabala Kabisa Na Kampuni Ya GAMBE Ya SERENGETI. au Mwenzetu Wanakudai au Umewagongea Totooz Zao?

Mkuu siyo lazima waibe ukiwepo...
 
Wanawake ndio wanaibiwa zaidi sababu ya vihere here vyao....mtu kabisa unaona kuwa mazingira hayaruhusu unatoaje simu....??
 
Nyie mnafikiri wengine s4 tunanunua wapi ??
wacha wawaibie tuuziwe laki au elfu sabini tutinge nazo kitaa
 
Maeneo hayo ni ya hatariu hata kama unakuwa ndani ya gari yako
 
Sasa wewe una mgallaxy wako unauonyesha dirishani? Lazima wenyewe wachukue,kuanzia ILALA Boma hadi Duce Kona si sehemu salama kupita vioo chini huku ukiongea na simu.
 
Bad parenting! Kuna ardhi iko kibwerebwere wangeenda kulima badala ya kuiba. Sasa wakishaiba visim ama hivyo v2 vdogo watatajirika? Thieves are selfish i hate lazy People. Let this post not distruct my focus in carryin boxes here. Nyambaff zetu.!!
 
Ebwana Mimi Mbona Nilikuwepo Hapo Mataa Chang'ombe Nasubiri Usafiri Wa Daladala Na Tulikuwa Watu Kadhaa Na Hatukuona Wala Kusikia Hatari Yoyote? Tulikuwa Tumesimama Hapo Stendi Ya Mabasi Iliyopo Mkabala Kabisa Na Kampuni Ya GAMBE Ya SERENGETI. au Mwenzetu Wanakudai au Umewagongea Totooz Zao?

Watakuibia nini wakati unasubiria daladala? Wanaibiwa wenye magari, hahahaaaaa!(natania)
 
Watakuibia nini wakati unasubiria daladala? Wanaibiwa wenye magari, hahahaaaaa!(natania)

Bora Umejiwahi Mwenyewe Kwa Kujihami Kwani Mimi Huwa Simkawizi Mtu!......Ila Kimtindo Umemaanisha Mkuu.
 
Najaribu kufikiria wakati kitochi kipo kwenye korodani kinaita halafu ndio unapita mbele ya hao vibaka...!!!
Hahahahahahahahahahahah aaaaaah hahahahahahahahha mkuu asante kwa kuniongezea siku za kuishi khaa
 
Huu wizi wa simu na vitu vingine unachangiwa sana na wanunuaji , wangekua hawapati wanunuzi wa hivyo vitu wasingeiba. Hebu fikiria simu ya mil 1 inauzwa kwa laki moja hivi wewe mnunuzi hujiulizi imetoka wapi. Nakumbuka kuna kampuni flani ya kuuza magari , ilikua kila ikiingiza magari kuna vifaa vinaibiwa baadae wanavikuta mtaani vinauzwa . CEO wa kampuni ile alikataa kuvinunua vifaa vile , aliamua kuagiza vingine haikua rahisi kumuelewa. Matokeo yake wezi hawakupata soko na ndo ukawa mwisho wa kuibia kampuni ile.
 
Back
Top Bottom