Kundi la kigaidi la Islamic State (IS) lafanya mauaji nchini Nigeria

Annunaki

JF-Expert Member
Dec 30, 2021
1,911
3,171
Video ya IS yasemekana kuonyesha mauaji ya wakristo wa Nigeria

Kundi la Islamic State limechapisha video ambayo inasadikiwa kuonyesha raia 20 waumini wa Kikristo wakiuawa katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Akizungumza kwa lugha ya Kihausa, mmoja wa wanamgambo walofunika nyuso zao alionyesha kisu akisema ilikuwa ni kulipiza kisasi mauaji ya viongozi wa kundi hilo Mashariki ya Kati mapema mwaka huu.

BBC haijaweza kuthibitisha maudhui ya video hiyo au mahali ambapo picha hiyo ilipigwa.

Ilichapishwa kwenye chombo cha habari kilichounganishwa na IS na inaonyesha makundi matatu ya mateka wakiwa wamevalia mavazi ya kiraia.

Mamlaka bado haijatoa maoni kuhusu video hiyo.

Wanamgambo wa IS, wanaoendesha harakati zao katika eneo la Ziwa Chad kwa jina la Islamic State West Africa Province (Iswap), pamoja na kundi jingine la wanamgambo wa Kiislamu, Boko Haram, hivi karibuni wamepata hasara kubwa kutokana na mashambulizi ya jeshi la mataifa mbalimbali.

Kampeni hizo za kijeshi siku za nyuma kwa kawaida zimekuwa zikifuatiwa na video za propaganda kutoka kwa makundi yenye itikadi kali.

Chanzo BBC.
 
View attachment 2220582
Nigeria wangepata bahati ya kuwa na Rais Shupavu kama John Pombe Magufuli, hawa wahuni wangeshafutwa kwenye uso wa dunia.

Mohammed Buhari anaonekana kuwa peti peti ssna hawa wahuni wanaoichafua dini ya kislam
 
Umejitahidi kueleza vizuri lakini hakuna Kafiri anayeweza kukuelewa kwa sababu ya kutangukiza kwao chuki ndio maana tumetahadharishwa nao Ktk Qu'ran ;

"Hawataacha kukufanyieni ubaya wanayapenda yajayo kudhuruni imeshafichuka chuki yao Ktk midomo yao na yayoficha vifuani vyao ni makubwa zaidi[3:118]" haya ndiyo wanayoficha vifuani na kuishi nao kinafiki mtaani ila wanapopata nafasi mfano hapa Jf tunashuhudia maneno yao machafu na chuki kubwa
Waelewe wasielewe, nishazungumza uhalisia, hata mtume alikuwa anawapa uhalisia. Nadhani unakumbuka kisa kile cha mtume kuwa muaminifu na jamii yake kabla ya utume, pale alipowaita nakuwauliza imani yao kwake wakakiri wanamuamini mnooo, il alipowaeleza tu yeye ni mtume hakuna aliyetaka kuamini😂, mie nafikisha tu ujumbe, akili kumkichwa
 
Hivi zenji nao wanaowakatalia wakristo kununua ardhi nao sio waislamu kumbe?wanafanya kinyume na dini eti.

Daah binadamu wanafiki waziwazi asee.

#MaendeleoHayanaChama
Swali zuri chief, nami nikujibu kwa swali, Kwani zenji anakataliwa aliye mkristo ama ukiwa mbara tu, wazanzibari wana tatizo fulani la ubinafsi na kujiona, hiyo tabia wanayo saana, kujifananisha na waarabu.

Uislam haujafundisha hivyo chief.
 
Hiyo ndio "pure"islam.
Shika adabu yako.

Hao wana siasa zao usiuhusishe Uislam. Hayo ni makundi yanayoanzishwa na nchi za Magharibi kwa mpango wao le ule wa karne na karne wa "wagawe uwatawale". Wanatumia tu jina "Islamic" kuwahadaa wajinga kama wewe.

Ni mjinga (ignorant) asiyeujuwa Uislam ndiye ambae anaweza kuuhusisha Uislam na mauaji yoyote yale.
 
Shika adabu yako.

Hao wana siasa zao usiuhusishe Uislam. Hayo ni makundi yanayoanzishwa na nchi za Magharibi kwa mpango wao le ule wa karne kane "wagawe uwatawale". Wanatumia tu jina "Islamic" kuwahadaa wajinga kama wewe.

Ni mjinga (ignorant) asiyeujuwa Uislam anaweza kuuhusisha Uislam na mauaji yoyote yale.
Fujo katika Uislam zilianzishwa na mtume mwenyewe kwani hata yeye aliwahi vunjwa jino kwenye ugomvi. Siyo kila kitu tusingizie mataifa ya Magharibi wakati mengine yapo dhahiri. Na hata Ingekuwa kweli, lazima tujiulize, mbona vikundi vingi vya kihalifu vina mrengo wa hiyo dini?
 
Shika adabu yako.

Hao wana siasa zao usiuhusishe Uislam. Hayo ni makundi yanayoanzishwa na nchi za Magharibi kwa mpango wao le ule wa karne kane "wagawe uwatawale". Wanatumia tu jina "Islamic" kuwahadaa wajinga kama wewe.

Ni mjinga (ignorant) asiyeujuwa Uislam anaweza kuuhusisha Uislam na mauaji yoyote yale.

haya mambo ya kuuwa yalianzishwa na mtume wenu na nimoja kati ya njia ya mkato kufika pepo ya mabikira,
 
Back
Top Bottom