Kundi gani litamchagua tena rais Magufuli?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,864
Katika jamii yeyote yapo makundi mbalimbali, kuna wakulima, wafanyabiashara, wafanyakazi na vijana wasio na ajira, wengi wakiwa ni wale wanasubiri kuajiriwa.

Katika utawala wa rais Magufuli makundi yote hayo ambayo ndio wapiga kura ameyaumiza kutokana na maamuzi yake ;

Wakulima, kundi hili limeumizwa sana kutokana na zuio la kuuza mazao nje, matokeo yake bei ya mazao yao ikashuka na wengi wakapata hasara, kundi hili halipati ruzuku ya pembejeo kama zamani, lakini kubwa ni jinsi kundi hili lilivyoumizwa kwenye suala la korosho, katika awamu hii kundi hili limebaki kuwa duni.

Kundi la pili ni hili la wafanyabiashara, katika awamu hii biashara imekuwa ngumu sana tofauti na awamu iliyopitia, wafanyabiashara wengi wanabambikiziwa kodi kubwa isiyoendana na mapato halisi ya mauzo, kiwango cha manunuzi kimeshuka sana, hali iliyowafanya watu wafunge biashara zao.

Kundi lingine ni wafanyakazi, kundi hili lina miaka minne bila nyongeza ya mishahara, mbaya zaidi wamezuiwa kuhama, ongezeko la makato toka bodi ya mikopo, wengi wana hali ngumu sana.

Kundi la mwisho ni vijana waliomaliza vyuo mbalimbali wakisubiri ajira, kundi hili wapo wengi sana lakini hawana matumaini, kutokana na ukweli kwamba serikali ya awamu hii imeshiindwa kuweka sera nzuri za kutengeneza ajira kwa vijana.

Tujiulize ni kundi gani sasa ambalo litamchagua rais huyu tena?
 
Kamanda ni nani mbadala wa JPM 2020?.."hata mimi ni shabiki wako...."Sugu.
 
Mazwazwa wa lumumba Mkuu.

La Miundombinu Mkuu! Kuwa na Amani tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kunatofauti kati ya kutopigiwa kura na "kutangazwa mshindi". Pia kwa tume ipi ya uchaguzi ambayo inauwezo wa kumtangaza mgombea wa Urais kupitia upinzani kuwa ameshinda?.
Inahitaji wananchi walio tayari kujitoa kafara, ndio Upinzani utashinda, bila hvyo chama cha Ma........kita tawala milele.
 
Kundi la mazwazwa ambalo ndio kundi kubwa zaid humo kuna wakulima,wafanyakazi kama walimu nk. Nibora hata urais apewe sugu ili wanasiasa wajue watu makini upuuz hatupendi lkn sasa hii ni bongo watu makini ni 0.001%. Shangaa makonda aliwakashifu wachaga lkn yakatokeza kumshangilia na kumpa mikono alivyoenda klm...jinga sana
 
kwamba ccm tutaiba kura hiyo ni imani tu,si kuna waangalizi wa kimataifa?,mwende kupiga kura
 
Kuna kundi hujatutaja na ndio tupo wengi tutaompa kura
 
Kamanda ni nani mbadala wa JPM 2020?.."hata mimi ni shabiki wako...."Sugu.
Kama kigezo cha kuweza kuongoza ni Magufuli hata Sugu atakuwa mbadala wake kwa sababu ana hekima, akili na busara kuliko yeye
 
Back
Top Bottom