Kunani Zanzibar mbona habari za ufisadi na Malaria hazivumi, Tanganyika vipi?

raffiki

Senior Member
Jun 4, 2011
160
44
Jamani naomba tujiulize kwanini wenzetu wa Zanzibar wanaongelea habari za maendeleo ya sehemu yao na hakuna ufisadi wala malaria, kuliko sie huku bara kila siku habari ni hizo...Wametushinda nini ?
 
Nani kakwambia Zanzibar hakuna ufisadi? Ufasadi uliofanywa na familia ya karume kule Zanzibar unajulikana sana, sema watu wa Zanzibar saiv hamna wa kuwatetea maana CUF iliyokuwa ikiwatetea saiv ni CCM-B.

Il Gambino
 
Ni upi huo?naona umetaja jina bila kutoa habari yenyewe...!lakini sio kiasi kama swala hilo linavyochukua nafasi kujadiliwa na kuacha mambo ya maendeleo hapa bara
 
Ni upi huo?naona umetaja jina bila kutoa habari yenyewe...!lakini sio kiasi kama swala hilo linavyochukua nafasi kujadiliwa na kuacha mambo ya maendeleo hapa bara

mkuu nakuunga mkono kabisaa zanzibar ufisadi wao si mkubwa kama huku kwetu ila naona kama kunakitu wanakosa mbona kanchi kenyewe hata hakaendelei kama tanganyika tunasema umasikini unaletwa na ufisadi, yaani hapo ndo huwa sielewi kunani kwa ndugu zangu hawa!
 
Jamani naomba tujiulize kwanini wenzetu wa Zanzibar wanaongelea habari za maendeleo ya sehemu yao na hakuna ufisadi wala malaria, kuliko sie huku bara kila siku habari ni hizo...Wametushinda nini?
Sitaki kuwaongelea wao wala uelewa wao....(Ninyi)
Nitajiongelea sisi kama ifuatavyo:-

Kwasababu kwetu ufisadi haukubaliki na tumejitolea bila unafiki kupambana nao.
Sauti uisikiayo na mitikisiko yake, ni ishara ya nguvu na dhamira ya kweli katika jambo hili....

One who knows nothing cant doubt anything.
 
mkuu nakuunga mkono kabisaa zanzibar ufisadi wao si mkubwa kama huku kwetu ila naona kama kunakitu wanakosa mbona kanchi kenyewe hata hakaendelei kama tanganyika tunasema umasikini unaletwa na ufisadi, yaani hapo ndo huwa sielewi kunani kwa ndugu zangu hawa!

Nashukuru kwa kufafanua vzr, ni kweli hawana ufisadi lkn maisha yao ni duni pia..so kumbe....!Pengine ndio sababu wanasema tunawanyonya kaka...!na wanataka kujitenga mie nahisi wakijitenga kwa kuwa hawana maradhi hayo wataendelea kwa mudaa mfupi sana.
 
Raffiki.

Una data zozote kusupport argument yako niliyo RED.

Je umewahi kusikia Zanzibar watu wanakula Mboga na kumbikumbi kama mlo kamili wa siku?
Au u duni upi huo unaozungumzia na kuufananisha na Bara?
 
habari wakuu...tukiwa bado tunaendelea kuomba sahihi za wabunge wetu zitimie 70 kuna jambo limenijia akilini

mara nyingi serikali yetu ya bara imekua ikitajwa sana kuhusika na vitendo vya kifisadi kama jinsi tulivyopewa na CAG wetu...

nahitaji kufahamu haya mambo yapo kwa kiasi gani serikali ya Zanzibar........je wana CAG wao au ni huyu huyu bwana Utouh,...

naona kama zanzibar ina afadhali...........nawasilisha
 
hata mimi mkuu ni swali ambalo huwa najiuliza mda mrefu sana, Mpaka nimefikia kuamini kuwa labda zanzibar wenzetu niwasafi!
 
wazanzibar ndio watu wabaya sana kwa rushwa na madudu mengine ila wao huwa hawataji, wao huwa hanataja muungano tuu na karafuu
 
Duh!Sikuwahi kufikiria kuhusu hili lakini kwa post yako umeniamsha aisee!Kweli jamani sijawahi sikia ufisadi kwa ndugu zetu wakina Kibelaaaaaaaaaaaaa!!Kama kuna mwenye data atumwagie jamvini aisee!!
 
Wana JF
Naomba kuuliza ni kwanini hatusikii zanzibar kwenye mambo kama ufisadi/rushwa/ubadhirifu/u10%/viongozi kujaza watoto wao kwenye nyadhfa mbalimbali serikalini??? yaani kwa kifupi viongozi kuwa kashfa mbalimbali? hivi kwanini hawa mawaziri wanabadilishwa badilishwa huku bara tuu? au yatokea hawatuambii?? hivi kwanini huu urais unaogombaniwa hadi kwenye makanisa na misikiti hatuyasikii kule zanzibar??
Hivi mbona shamsi vuai nahodha amekuwa waziri kiongozi huko zanzibar akafanya vizuri lakini alipokuja huku akaoza?
 
Sasa mkuu huko Zanzibar wataiba nn? Labda kama waibe halua na tende maana sioni cha kuiba huko. Bajeti yenyewe ya Zanzibar ndogo kuliko ya mkoa wa Mwanza sijui hapo unategemea nini.
 
uchumi wa mkoa wa pwani ambao ni moa wa mwisho kwa mapato ya mwaka mzima yanaizidi zanzibar mara tatu zaidi. angalia hilo
 
Back
Top Bottom