Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,836
- 40,383
Huyo ni mdogo wake anaitwa nkigiMbona last seen ya smart ni leo
Huyo ni mdogo wake anaitwa nkigiMbona last seen ya smart ni leo
Wanaachiwaje wenye wakati mkuu Dead man anataka kujua 😂😂😂Mambo yao waachie wenyewe
Lete link tujionee wenyeweMbona waliachana kitambo baada ya fumanizi mkuu?
Smart alikuwa anamwaga hela kwa Mahonda kama njugu, kumbe bibie anaruka vijoti nje. hukuona mpaka uzi ulianzishwa hapa?
daahNasikitika kuona smart kasoma uzi ila hata hajachangia.
Ngoja tusubiri mchango kutoka kwa mahondaw
Enzi zangu na ..dah......!



mke wa mganga umemuweka msukule nini. Mbona haonekan kabisa jaman