kunani ikulu?

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,531
Habari za saa hizi wakuu?..

Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa mbali vijana wanaimba..
swali je kuna nini leo ikulu kwa anayefahamu naomba atujuze?

nawasilisha..

tunalazimika

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
1,098
256
Habari za saa hizi wakuu?..

Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa mbali vijana wanaimba..

swali je kuna nini leo ikulu kwa anayefahamu naomba atujuze?

nawasilisha..

<br /
ungeenda na wewe UPAKULIWE sio vizur kuangalia kwa mbali

Cynic

JF-Expert Member
Jan 5, 2009
5,146
1,642
Habari za saa hizi wakuu?..

Leo katika pitapita zangu nimeona watu kibao na wengi wao wakiwa katika vazi la kiislam zaidi wanaingia ikulu upande wa geti la ofisi za WAMA na kuna kaswidah kwa mbali vijana wanaimba..
swali je kuna nini leo ikulu kwa anayefahamu naomba atujuze?
nawasilisha..

Hapo ndipo nyumbani kwao kwa sasa na maisha lazima yaendelee kama kawaida; kukaribisha wageni wao, kusali, sherehe, n.k.

Makyomwango

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
322
79
mwita25 siku zote unapotete magamba nilidhani unafanya hivyo kama mtu mwenye akili huru! mpaka umejua na kushirki maurid ya mtoto wa ritz1 ama kweli wewe ni mmoja ya magamba ambayo yamedhubutu kufanya ufisadi na kumasikinisha watanganyika.

0 Reactions
Reply
Top Bottom