Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

wezi wapo mitaani kwetu, tunaishi nao, tuwafichue.

tuache tabia ya kuwalea na kuwaficha.

tuwafichue vibaka na majambazi
 
Imesambaa sana ile video, jamaa waeharibu vibaya sana. Yaani hata kama hujawahi kupiga mwizi, ukiona uharibifu ule lazima siku ukikamata mwizi usulubishe.
Jana jioni meona video ya kijana mwizi wa vifaa vya magari amekamatwa...kapigwa vibayaaa nahisi ka atapona atakuwa ametia akili
 
Habari wana JF

Kuna wizi mpya wa vifaa vya magari naona umekithiri sana huko maeneo ya Goba, Mbezi, Temeke watu wanaibiwa sana vifaa naomba Ma RC , POLISI N.K walishugulikie hili swala wezi wanajulikana n wanaonunua hivo vifaa vya wizi wanajulikanaa.

View attachment 1759159View attachment 1759160View attachment 1759162View attachment 1759164View attachment 1759167
View attachment 1757830
Hao walioiba hivyo vitu wamedakwa wako mkoboni salama video hiyo hapa kwa sasa anatafutwa kubwa lao anaowatuma na kuvinunua ondoa shaka mkubwa wezi hawa hapa
Sory kwa video inatisha kama una roho jepesi plies isiifungue
 
Na kuna mitaa ya kkoo ukienda unavikuta vitu vyako Kama vilivyo Ila utaambiwa uvinunue....!!mjini shule
Hii ilitukuta kioo cha saiti mira ile kukikuta hadi namba zimeandikwa hapo wakaona isiwe tabu wakakiachia kikadondoka chini kikavunjika vunjika kisa tumemchenjia
 
Back
Top Bottom