Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,170
2,000
Masoko yao sio kificho na serikali ikitaka kudhibiti ni rahisi tu! Ni kuweka utaratibu wa manunuzi ambao ni rahisi kufatilia hata kama ni maduka bubu. Kuna biashara hazina control kabisa na sababu pia kuwa zipo level ya local authorities!

Inabidi itungwe sheria maalum kwaajili ya udhibiti wa biashara kama hizi bila kuathiri wanaofanya kihalali.
Komesha ni kuweka sheria ukiletewa na ukanunua spea za wizi unapigwa miaka 30

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,799
2,000
Hakuna mtu anaweza kuja kuiba sehemu bila kuwa na mwenyeji.Ni uzembe wa Wenyeviti wa Mitaa. Wezi mitaani wanajulikana vizuri tu, ila kuna jinsi wenyeviti watakua wanafaidika
Sio hivyo mkuu,wizi wa aina hii,wezi wanakuwa na gari au bodaboda,wanakufuatilia tokea mjini au sehemu yoyote ulipokutana nao bila ya wewe kujua mpaka nyumbani kwako,wakishapajua kwako sasa wanaanza kusoma ratiba zako bila ya wewe kujua,kwahiyo siku ya kuja kukupiga mara nyingi wanakuja na gari,vitu vyote wakishachomoa kwenye gari lako wanahamishia kwenye gari yao ambayo wanaipaki sio mbali na kwako,wakishatimiza lengo lao wanaondoka kiulaini,na wanaweza kwa usiku mmoja wakaiba hata nyumba tatu au nne....
 

King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
40,105
2,000
Usikejeli kijana. Haya mambo achana nayo. Yaone kama yalivyo tu. Omba yasikukute kabisa

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app

Uzembe mkuu na wala sio kejeli ,Mijini lazima gari uifunge alarm....zipo za elfu 70 hadi 150k....Labda inategemea mtu na mtu ,mimi hata ukigusa mlango tu au ukagusa dirisha nishastuka kitambo ndio iwe kufungua tyre? Unaweka jeki unaipump halafu hakuna aliyestuka? Ni walalavi hao.
 

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
3,703
2,000
Uzembe mkuu na wala sio kejeli ,Mijini lazima gari uifunge alarm....zipo za elfu 70 hadi 150k....Labda inategemea mtu na mtu ,mimi hata ukigusa mlango tu au ukagusa dirisha nishastuka kitambo ndio iwe kufungua tyre? Unaweka jeki unaipump halafu hakuna aliyestuka? Ni walalavi hao.
Babu watu wanabypass hizo alarm. Halafu kumbuka mwizi haji tu anafanya research kwanza.

Sent from my PBAT00 using JamiiForums mobile app
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
27,932
2,000
One time ndugu yangu almanusura aue watu wa kuuza vifaa vya spea za magari.

Aliibiwa kama hivi akiwa amesafiri, aliporudi akajaza risasi kwenye bastola yake akaenda kwenye hayo maduka akakuta vitu vyake, akawaomba wakamwambia avinunue, tunashukuru kwamba mambo yaliisha vizuri akachukua vitu vyake bila shida ila kijana wa dukani hatasau kilichomkuta.

Hawa jamaa wamerudi tena.
Mimi walishanipiga Brake lights pale Udoe Kariakoo ilikuwa parking ya Hoteli nikawakwida wenye Hoteli wakaenda kununua wakaleta wakafunga kwa gharama zao
 

mjombakim

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
842
1,000
Hakuna mtu anaweza kuja kuiba sehemu bila kuwa na mwenyeji.Ni uzembe wa Wenyeviti wa Mitaa. Wezi mitaani wanajulikana vizuri tu, ila kuna jinsi wenyeviti watakua wanafaidika
Mwezi jana alitambulika mwizi aliye vunja Duka na kuiba maeneo ya Madale kituo kipya cha polisi mwizi alikutwa na sare za polisi na jeshi nyumbani kwake Mwizi ajulikanae kwa jina la ACHIMWELE ! Amesumbua sana Madale ila muda mfupi polisi wa kituo hicho walimuachia! Kwaiyo sio suala la wenye viti tu ata polisi wasio waminifu wana walinda!
Ombi wahusika wafuatilie kituoni hapo
 

Duduvwili

JF-Expert Member
Jan 31, 2015
2,308
2,000
wiki jana meona picha ya video ya wizi ulofanyika kwenye gari aina ya VANGUARD dah yaani hao jamaa wanafanya uharibifu wa hatari
Kweli bro ni zaidi ya wizi ule ni uharibifu kwa kweli sio vizuri kabisa zile mambo
 

Master Legendary

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
395
500
Aisee yani kama kule Mbezi Makabe wanachukua kila siku kama vya kwao,Polisi wa kule wamelala kuna Mtaa wanaita Kwa Mjumbe Minja sijui jirani na kwa Paulo ndugu yangu anaishi kule nilienda kumsalimia Mtaa mzima karibu nyumba 13 wameibiwa ndani ya mwezi mmoja wengine wameibiwa hadi mara 3 na wakitoa taarifa Polisi hawapati msaada wowote nadhani wanashirikiana nao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom