Kuna wizi wa vifaa vya magari maeneo ya Goba, Mbezi na Temeke

Yaani hawa wezi wanaubia naona na wanausalama...hamna msaada kabisa siku hizi...kila siku matukio hayo hayo loh
 
Aisee yani kama kule Mbezi Makabe wanachukua kila siku kama vya kwao,Polisi wa kule wamelala kuna Mtaa wanaita Kwa Mjumbe Minja sijui jirani na kwa Paulo ndugu yangu anaishi kule nilienda kumsalimia Mtaa mzima karibu nyumba 13 wameibiwa ndani ya mwezi mmoja wengine wameibiwa hadi mara 3 na wakitoa taarifa Polisi hawapati msaada wowote nadhani wanashirikiana nao.
...Na unaweza pia Ukakuta ni hao hao Wana Usalama!
 
Huyu Kunenge naona hana amsha amsha, huu mji unataka mtu ujitoe fahamu kama vioe Makonda, la sivyo utabaki kulaumiwa kwa kutochukua hatua. Kunenge chukua hatua.
Ndo tabia ya binadamu. Hana shukrani wala wema. Hajui anachokitaka. Mlimponda hana sifa kuwa RC, hana elimu, vyeti fake. Mkamwita daud bashite. Lakini wachache walimwona ni msaada. Leo mnamkumbuka!
 
Aisee yani kama kule Mbezi Makabe wanachukua kila siku kama vya kwao,Polisi wa kule wamelala kuna Mtaa wanaita Kwa Mjumbe Minja sijui jirani na kwa Paulo ndugu yangu anaishi kule nilienda kumsalimia Mtaa mzima karibu nyumba 13 wameibiwa ndani ya mwezi mmoja wengine wameibiwa hadi mara 3 na wakitoa taarifa Polisi hawapati msaada wowote nadhani wanashirikiana nao.
Kwa Paulo ndio ile mitaa karibia na mnara wa simu sijui Voda ile?

Maana watu walivyojitenga kule, likipigwa tukio huna ujanja
 
Shida hawa jamaa huyu walimkamata
IMG-20210420-WA0306.jpg
IMG-20210420-WA0355.jpg
IMG-20210420-WA0354.jpg
Screenshot_20210421-065828_Video%20Player.jpg
Screenshot_20210421-065804_Gallery.jpg
 
Mwezi jana alitambulika mwizi aliye vunja Duka na kuiba maeneo ya Madale kituo kipya cha polisi mwizi alikutwa na sare za polisi na jeshi nyumbani kwake Mwizi ajulikanae kwa jina la ACHIMWELE ! Amesumbua sana Madale ila muda mfupi polisi wa kituo hicho walimuachia! Kwaiyo sio suala la wenye viti tu ata polisi wasio waminifu wana walinda!
Ombi wahusika wafuatilie kituoni hapo
Kama mnamjua mnashindwa vipi kumuua? Watu dhaifu kabisa
 
Eeeh eeh pale lumumba wote wale ni majambazi, walishaniibia logo ya gari kwenye ule mfuniko wa engine, mfuniko wa windshield wa siku nimeenda kuweka tint
Ukiwa unamiliki gari ni vyema uwe na watu wako kwa kila unachohitaji sio kila mtu kumkabidhi gari yako...

Au la hasha unaweza pitia fundi wako wa gereji kupata msaada kama huo wa tinted n.k
 
Huyu anakula kibano ataje wenzake halafu yeye katika safari ya kupelekwa polisi anapotezwa. Msako unaanza kuwakamata kwa siri mmoja mmoja hadi wahame mji. Tatizo hakuna ushirikiano.

Huko bush alikamatwa dogo mwizi. Vijana wakampiga kamba kupeleka kituo cha pplisi. Hawakufika naye. Walimfunga jiwe zito wakamtumbukiza kwenye mto. Waliporudi wakadai kawazidi nguvu kakimbia.
 
Back
Top Bottom