Kuna waziri na mbunge leo wamekutwa bungeni wakiangalia picha za ngono

Kaka yao alianzisha semina elekezi ya kuacha uzinzi kwa kuamsha maashki kwa porn, inaelekea haijafua dafu, wacha kwanza aende finland akirudi ataanda semina ingine
 
Hamjui bungeni kuna macamerroon?wanataka wapate misaada wakitangaza nia
 
Inaelekea huko bungeni kuna mahomosexual kibao,mara naniii na naniii wanatembeleana na bukta ,mara madume mawili yanangalia picha wagonjwa hao
 
Ni kweli lakini imetokea India siyo bongo.
na wamejitetea wakisema kwamba walikua wanaangalia mwanamke aliye bakwa.
 
yakipatikana majina yao itakuwa safi na chanzo cha kuaminika cha habari hiyo.
 
Wadau hivi tetesi ni ya kweli na kama ni ya kweli ni waziri yupi na mbunge yupi?
hata kama ikiwa ni kweli kwani kuna ubaya gani? mbona nyie mnaangalia mkiwa maofisini kwenu hatusemi. mbona mnatufuatilia fuatilia sana wakuu; tunajitaji kupumua dah..
 
hayo mambo ya kawaida mbona, hasa siku hizi na simu zetu kama TV + laptop na pamtop na ipad, kwani wee hupendi kuangalia mbunye? mbona kila siku washinda jukwaa letu lile la funzadume?
 
Walikuwa wanaangalia JF kwenye Mambo ya Wakubwa,na humu si mambo ya kawaida waache waheshimiwa wapunguza stresi,Kituo cha Mwenge kiko mbali na Dodoma
 
Wadau hivi tetesi ni ya kweli na kama ni ya kweli ni waziri yupi na mbunge yupi?

Hii ni isue iliyotokea india ni waziri na naibu wake walinaswa na kamera ya mwandishi aliekua juu na kugundua wanatizama picha hizo huku bunge likijadili hali ya ukame ulioikumba nchi hiyo
 
Tupeane habari za msingi, tuache kuzusha na kutunga mambo kwani hutopata faida yeyote!
 
Mileage inarudishwa nyuma wewe etii imesoma sana we nawe mbwiga kweli ndo nyie inabidi uwekewe vidole nyuma ndo isimame huoni haya kuvaa suruali si uvae sketi tuu uitwe antiii!!!!!

Samahani wana JF<hivi watu wa aina hii pia tuwaite Great Thinkers?????? SO SAD!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom