comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,462
- 11,525
- Thread starter
- #21
Ila maisha ya bongo sasahivi ni kama movie za Mission/Action
Wee mafegi?Nasikia Kinyonga nae ameenda na maji, we acha wafaidi siku si nyingi hiyo asali Itegeukwa kwao nyanya chungu kama siyo mbilimbi.
Kumbuka jambo ni la wengi, unapambanaje peke yakoAlikosea sana kuamini watu kwenye mission yake...alitakiwa apambane pekeake
wapi na wapi hayo mambo na mimi?.Wee mafegi?
Namaanisha huyo mzee ni mafegi?wapi na wapi hayo mambo na mimi?.
Hakuna asali wala nini madudu yao yanajulikana wametembelewa tu, mnataka kupindua serikali? ujumbe umewafikia na wametaja mpaka walikomficha Haraka Haraka ndio umeona kadakwa. jiongezeKulingana na press ya mwisho ya slowslow anasema kuna wazee ambao walikua na misimamo ila nao washalambishwa asali, baada ya uchaguzi watasimamia maridhiano ya kitaifa ili kuhalalisha yaliyotokea yote.
Na moja ya mzee huyo jana kaonyesha kweli kalamba asali, na siku za nyuma polepole alishawahi kusema huyo mzee na mwingne kama wawili hivi ndio kama walezi wake.
Je?! inawezekana wazee/Mzee huyo baada ya kulamba asali alikua anajua location alipo bwana slowslow akamuuza??
Hakuna mzalendo nchi na point yako ni 100% ni kuwa tupo nje ya buyu la asali ndio kelele hizi, hata hao wasanii wengine unasikia kelele ni kuwa tu wako nje ya buyu....Inaonekana hata wengine waliolalamima ni kwavile hawamo kwenye buyu la asali...
Sasa wazee wote wadumbukizwe kwenye buyu la asali halafu atakaetoa mlio wa kukemea akiwa ndani ya buyu la asali ndo mzalendo wa kweli. Au mnasemaje wadau
Inaonekana ni matumbaku kabisa, nchi ya ajabu sana hii.Namaanisha huyo mzee ni mafegi?
Hili swali linafaa waulizwe wachaga sisi wakurya halituhusu 😀😀Kauzwa, wabongo wengi tuna tamaa ya hela na umaskin ni shida, TUJITAFAKARI kwa mfano mimi natafutwa na wanamtandao, hawajui nilipo, wewe ni mzee wangu mlezi,wakakuwekea begi la b5 mezani utaje location tu nilipo utakataa kweli?
SawaHili swali linafaa waulizwe wachaga sisi wakurya halituhusu 😀😀
Kwan Watu bado hawajaomba location ya Butiku ?Tar 29 inabidi uyu mzee butiku tumu tikundu