kuna watu.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna watu..........

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Barraza, Nov 15, 2011.

 1. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  .......
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Huu ujumbe utume moja kwa moja kwa huyo mlengwa. Itakuwa bora zaidi.

  Binadamu tuna mapungufu yetu. Wengine tunafanya makosa bila ya kujijua, ila tukijenga tabia ya kuambiana ktk mapungufu yetu, itawezesha kuwa na jamii iliyostaaribika.

  Pengine huyo rafiki yako hajijui kuwa anakukosea. Jaribu kumueleza kuwa tabia yake sio. Kama kweli urafiki wenu unaupenda.

  Binadamu tuna tamani kuwa sawa, ila kwakuwa tuna mitizamo tofauti. Kwame hatuwezi kuwa sawa.
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hii thread ungeiunganisha na ile ya jana inayoelezea mambo yanayoweza kukupunguzia umaridadi.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  ..na viatu
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ni vema kama ukimweleza muhusika mwenyewe live,maana yaweza kukaa kwako kimya kukamfanya yy kuamini yuko sahihi!!
   
 6. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni wazi kua mtu huyo anakutumia. tena vibaya.
   
 7. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  pole kwa kukwazwa ndg
   
 8. Barraza

  Barraza JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2013
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  asante
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2013
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  That's is a world! Pakikosekana watu wa hivyo , haikamiliki kuitwa dunia Ulimwengu.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2013
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Thread ya 2011 mkuu umekuja kuiibua leo.....looks like jamaa yako kakukwaza tena na una vent anger hapa,pole sana msamehe bure
   
 11. n

  ngoshas JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2013
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 710
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mi huwa siwasaidiii, maneno matamu af sifanyi, anapigia mctari mwenyewe
   
 12. Chocs

  Chocs JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2013
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 8,202
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 160
  Tena makanyagio
   
Loading...