mjumbe wa bwana
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 5,287
- 6,186
Huu utan wa ngum aithee
Mkuu naweza pata bahati ya mm kulipwa si unajua namba hazidanganyi
Huu utan wa ngum aithee
hiyo formula inakuwa applied when other factors are kept constant., otherwise ihusishe na watoto alionao(hii kwa single moms), mimba alizotoa, kama ameishawahi kuolewa na kuachika,,,, mwisho wa siku jibu litakuja 0.0005 halafu NB: jibu likija chini ya moja maana yake mwanamke ndio analipa mahari sio mwanaume tenaAh ah ah View attachment 797674
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo formula inakuwa applied when other factors are kept constant., otherwise ihusishe na watoto alionao(hii kwa single moms), mimba alizotoa, kama ameishawahi kuolewa na kuachika,,,, mwisho wa siku jibu litakuja 0.0005 halafu NB: jibu likija chini ya moja maana yake mwanamke ndio analipa mahari sio mwanaume tena
hahahahaa ndio mambo ya haki sawa, nyie hamjui tu wanaume huwa wanateseka kiasi gani kutafuta hela ya mahari, na kuna wazazi hawana huruma wala aibu, wakilipwa nusu wanasema nusu utakuja kumalizia hata kama tumekupa mke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie naomba tuu iwe other factors remain constant la sivyo mtatupa shida sana kwenye swala la kuwalipia mahari.
Kwahiyo mmeamua mtafute njia ya kujipunguzia mzigo katika swala la kulipa mahari?hahahahaa ndio mambo ya haki sawa, nyie hamjui tu wanaume huwa wanateseka kiasi gani kutafuta hela ya mahari, na kuna wazazi hawana huruma wala aibu, wakilipwa nusu wanasema nusu utakuja kumalizia hata kama tumekupa mke
hii njia nzuri kabisa, kwanza mi kwenye swala la mahari siwezi toa hata miaKwahiyo mmeamua mtafute njia ya kujipunguzia mzigo katika swala la kulipa mahari?
Wanaume Mungu anawaona mjue khaah