Kuna watu wataolewa bure hapa kwa formula hii

Kuna watu wataolewa bure hapa kwa formula hii

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
15,270
Reaction score
29,938
Ah ah ah
IMG-20180608-WA0000.jpg
 
Hii formula kali sana
Hivi imeshapitishwa bungeni......? na tutahakiki vip ili kujua mwanamke ameshalala na wanaume wangapi toka abikiriwe....au kuna kipimo JIWE analeta toka Ughaibuni cha kuwapimia....huu utawala nimeupenda...😀😀😀
 
Kwanini isiingizwe katika mitaala ya elimu wanafunzi waanze kukokotoa hesabu izi adhimu

Haya ndo mambo ambayo wanafunzi mashuleni wanapaswa kujifunza sio ujinga ujinga circle sijui nn uko
 
Bora kucalculate hii kuliko kutafuta thamani ya x ambayo hata nikiipata siwezi itoeza na tonge la ugali
 
Hivi imeshapitishwa bungeni......? na tutahakiki vip ili kujua mwanamke ameshalala na wanaume wangapi toka abikiriwe....au kuna kipimo JIWE analeta toka Ughaibuni cha kuwapimia....huu utawala nimeupenda...😀😀😀
Jiwe ni balaa!!
 
Back
Top Bottom