Kuna watu wanausingizi usipime, check this

Huyo hajalala, ni vituko tu. Huwezi kulala kwenye tairi mkono ukawa tenge(diagonal) huku umeshikilia nut kwa juhudi hivyo. Isitoshe, hebu angalia miguu inavyochechemea. Miguu ilibidi iwe inaning'inia au inagusa chini kabisa.
 
jamaa kalala kweli lakini funguo za gari anazo kibindoni aliziweka baada ya keroro kuzidi.tehe tehe tehe
 
Dah! Jamaa mfilipino nini? Naona tairi za gari zimechokachoka kibongobongo.
 
Sasa hiii kali hapo tu kalala kama yy ndo dereva inakuwaje? si ajali kibao tu
 


Nadhani anajitahidi kujiepusha na popo bawa...!!!
 
Huyu jamaa lazima ndiye atakuwa alimgawia Wasira robo ya usingizi wake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…