Kuna watu wanapiga Photocopy aisee

Kuna watu wanapiga Photocopy aisee

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
10360464_602653349833433_6809363864376477813_n.jpg
 
Aisee hiyo ni hatareee
jama ana damu kali mbayaaa
 
Huyo ni yeye mwenyewe alipokuwa mdogo, kitu cha picha duka hicho
 
Anayetaka kutoa copy kama huyo ani-PM, natampa technique.
 
hapo ukiruka kimanga mimba ilikuwa c yako picha linakuumbua laivu bila chenga
 
Ndio raha yakumzindua demu mwenyewe sio unachukua demu used kashashusha gearbox mpk kazeeka.Wewe demu anazaa mtoto hana uhakika baba wa mtoto ni nani?
 
Ndio raha yakumzindua demu mwenyewe sio unachukua demu used kashashusha gearbox mpk kazeeka.Wewe demu anazaa mtoto hana uhakika baba wa mtoto ni nani?

Ha ha ha ha dem katumika kama gari vile Kilometer kwenye Dashboard
 
hiyo inaonyesha mtoto wako, sasa wengine sura zinafanana eti na babu yako kwani babu ndo mwenye mtoto ?
 
Back
Top Bottom