Kuna watu wanajua kuigiza

Kuna watu wanajua kuigiza

Huyo dogo anafahamika kama Magufuli wa Mufindi! Ni habari ya mjini kwa sasa. Binafsi nilipomsikiliza kwa mara ya kwanza, nilidhani ni JPM. Hata nyota yake imeshaanza kung'aa kwa kasi maana hata mchana wa leo ameitwa kumuigiza Magufuli wakati alipokuwa anahutubia pale Mafinga stendi.

Akitumia vizuri fursa ya awamu hii ya "kiki" anaweza akajikuta maisha yake yamekuwa mazuri. Aendelee tu kujisogeza kwa wanasiasa ili aweze kitusua.
Kwenye kampain watamtumia tu kama kawaida yao. Yeye ajiandae kuiona nchi!!
 
Back
Top Bottom