2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 2,982
- 4,457
Hapo majuzi kuna wajinga walianza kulaumu wasanii wa Tanzania na kusifia wa Nigeria yani nikimsikia mtu huyo matusi yote duniani yatakuwa halali yake.
Msanii hawezi kuanzisha maandamano bali akiona Wananchi wanaandamana na yeye anaweza kujiunga. Tanzania ni hodari sana kulia lia kwenye mitandao lakini ni muoga sana unataka hao wasanii waende front wao hawaogopi? Acheni ujinga! Anza wewe afu wasanii watakuja tu.
Kitu ambacho nimegundua kuna watu wanaishi kijijini,hawana simu za smartphone hawaijui twitter wao ni radio tu na sio muda wote. Anaanzaje kuumia na matokeo ya uchaguzi?
2017 mpaka 2019 sikua na twitter wala instagram niliishi vizuri sana siku nafatilia siasa yan huwezi kuumia na chochote lakini ukianza kujiingiza huko lakzima upandwe na hasira tu.
Siasa za kiafrika mbaya sana tuna mi5 tena na huenda ikawa hivyo mpka mwisho wa dunia na vile sasa hakuna mtu wa kusema wala kuwakilisha wananchi tena.
Tutaisoma namba.