Kuna watu wana masikhara eti!!!

Beeb

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
29,402
58,951
Huyu mmiliki angetokea hapa Tanzania ningemshukuru sana
IMG_20181208_143158_881.jpeg
 
Mzungu ni shida tupu,Waisrael wakisikia kuna mtu amegundua ndege au teknolojia kubwa tofauti na ile waliyonayo huwa wanaenda kuinunua ndege hiyo na kisha wanaenda kuifungua yote...from there wanaiongezea vitu vichache then wanaiingiza sokoni so,mbunifu wa awali ndege au teknolojia yake haitaweza kushindana na ile ya Muisrael...hapo ndipo tunapoachwa!
 
Muisrael mjanja sana
 
Wazungu wanaibiana kwa technologia
Na wiz huko upo sana
Ndo maana uyo tajir kaanza kujiham mapema kwan atatanua duka lake zaid kwa vitu vya bei ya juu.

Sasa huku bongo wizi ni ule wa mapanga labda wakijitahd na binduki basiii
Utaishia kukamatwa tuu.
Ingekua kibongobongo ungefanyaje?
 
Ingekua kibongobongo ungefanyaje?
Hata bongo mambo hayo yapo mzee
Ila ndio kwa makampuni
Kwa mfano benki au makampuni ya simu wanaweza kununua system ya ulinzi kwa pesa nyingi sana lakini kabla ya kununua wanatafutwa hackers professional wakuhack
Huo mfumo kwa mpunga mrefu wakifanikiwa kampuni inakuwa hainunui hiyo program kwa kuwa ni raisi kudukuliwa
Wakishindwa inaonekana no salama na hivyo wanainunua
 
Back
Top Bottom