Kuna Watu wana kipaji cha kujipendekeza

Kuna Watu wana kipaji cha kujipendekeza

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
10,258
Reaction score
14,104
FB_IMG_1524915979843.jpg
 
kipindi hio akiwa kinda

HUU ndio wakati ule anamfunga kamba za viatu Ridhwani!!! Siku hizi Mkwere hataki hata kuona sura yake toka amuorodheshe mwanae kwenye ile orodha yake ya wauza ngada!!
 
Huwezi kua na maisha ya mafanikio kwa muda mrefu ukiwa unajipendekeza sana na kujiposition.

Tangu lini kujipendekeza ikawa sifa nzuri?

You will never be a legend!Never
 
Back
Top Bottom