Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,607
- 27,607
Raha yake nini🙂🙂😀😀😀😀😀😀 ningepata mke kichaa hivi mbona raha, kweli ni noma
anajiamini halafu mtata.Raha yake nini
Kavuta bangi mbichi jamaniiUwiii. Sijui wamemfanyaje. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo itakuwa US ingekuwa bongo angepigwaanajiamini halafu mtata.
AhahahahaAseeeh.. Halafu anavyo linyanyua hata halimeguki. Hakuna mabaki wala nini. Yan alikuja yameshambana au alivyozinguliwa akasikia yanabana.
Sasa assume huyu ndio kakubebea mtoto. Utaomba ugeuke caterpillar loooh!!