Nyumbani kwangu sio kwa mchepuko...!! Wewe ushamzoesha vibaya na hizo Laki 2 utazilipaa tu maana Huwezi kumuacha huyo mwanamke kashakulogaa yaniii...Kwani mkuu wewe ukiondoka nyumban kwako huwa huachi posho?
Sio mashoga wakike TU,Kiukweli uyo j wako,anaendekeza ushoga Sana jaman,khaaa na ni Swahili hasaaa...mana sio kwa mashoga hao wanaokuja na kuchukua bia mezani ,adi nyamachoma...hao sio mashoga jamani....mashangingi haswaaa
Hadith za shigongo
Sidhani Kama anavumilia,nadhani anaenjoy.Hata alivyofikia hatua hiyo ni kwasababu ya uvumilivu wake lakini kwa upande wangu huyo demu ningembwaga mapema Sana binafsi sipendagi Wanawake waswahili
Rahabu yule demu ana masifa sana!! Yani mkikaa nae sehemu lazima afanye juu chini ili ujue kwamba ye ni mtoto wa MajinjahBora ungeenda Mawasiliano Park ungegawa elfu 30 kwa Bendi. Ungerushwa jina Papaa DeepPond Mutu ya Watu, mume ya Mama J baada ya kutajwa Mama Kabungo,Rahabu na Majinjah.
mkuu,.
Ukiwa na akili hata kidogo, story nying za huyu jamaa Ni kusadikika. Ingawa anajaribu kuzipa uhai wa uhalisia.
Hasa ambavyo anatuma na ushahidi wa majibizano ya simu (ambayo ni fake pia). (Anatumia Simu kitochi-mama jay- kutuma sms kwenda kwa smartphone).
Kuna Sehem mama Jay kaenda choon Mara mbili wakat hajamaliza Ile Savanna moja. We umeona Wap?.
Mama Jay anaishi mwenyewe Ila kila siku anamaliza mkate mmoja.Maana ndan ya siku 3(alhamisi, ijumaa na jumamosi) zinazofuatana Jamaa kaenda kwa mangi kununua mikate.
Kuagiza Amarura 4 kwa wakat mmoja, we umeona Wap.
Unaenda kwa mwanamke unaoga tu, unaacha Kodi ya meza.
Mama Jay huyu huyu ambae sikumbuk Kama nyuma alikuwa anakazi.
Maana kutwa nzima Ni kulewa na shosti ake. Mara kulipiwa Kodi. Mara anakataa elfu 5 ya chakula. Leo hii eti amekuwa supervisor anapewa aka process cheque ya mill 2 na anaenda nayo nyumban bila kuwatumia wenzake.
Anyway, jamaa ni mtunzi mzuri. Ana weza kuipa uhai story yoyote.
Ni Mwanamke wa Kusadikika, uliyemuumba siku nyingi . Ambaye anakuwa na muendelezo kwenye story.Utakua umeanza kufatilia habar za mamaJ juzi, au hauko vizur na yanayoendelea khs huyu mwanamke
Nmeshamoderate comment yangu,by the way nimuumbe ili iweje labda?Ni Mwanamke wa Kusadikika, uliyemuumba siku nyingi . Ambaye anakuwa na muendelezo kwenye story.
Anyway. Hujajibu hoja zangu hata moja.
😁😁Umekamatika kakaKuna MDA nakasirika,
Ila nikikaa nikatafakari nagundua Kuna vingi najifunza kupitia hizi sarakasi zake![]()
Hoja zako zishajibiwa Sana kwny comment za nyuma za wenzio, ngoja nirudie kwa faida yakoNi Mwanamke wa Kusadikika, uliyemuumba siku nyingi . Ambaye anakuwa na muendelezo kwenye story.
Anyway. Hujajibu hoja zangu hata moja.