Kuna Watu ni wabinafsi, ila Mchepuko wangu kazidi. Nimemnyoosha

mkeo anahasara kubwa....
kutwa kucha kuzurura na mchepuko, ina mana taarifa hapati????

au ndo yule tunaishi ili tulee watoto tu.
Sijui mkewe alitoa kitongoji kipi aisee! Hua nashangaa sana kwa hizi sarakasi zake na mchepuko harafu asijue duuh!

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Sema hajakamilika eneo moja kwenye kugonoka ama?maana angekua kamili hili eneo wala usingehangaika kung'ang'ana na huyu ma j.

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Sijui mkewe alitoa kitongoji kipi aisee! Hua nashangaa sana kwa hizi sarakasi zake na mchepuko harafu asijue duuh!

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
inawezekana mkewe anajua isipokuwa Dp ndo anajitoa akili

lkn siku atakapo geuka nyuma kumuangalia mkewe na yeye mapenzi yatakuwa yalikufa zamani,

hapo ndo nyumba ataiona jelaa
 
Life background ni tofauti mkuu so usijielezee sana kwa watu wa aina hii wasioelewa kuwa this is sometimes a common path kwenye maisha ya mwanaume.
 
Kuna wanaume wajinga duniani. Kumiliki dumu tu ni kuongeza gharama za maisha, tena bado unagharamia hadi mashoga zake. Tuache ujinga wakuu, maisha haya siyo kabisa.

Vv
 
MamaJ Ni Pasua Kichwa mno dada angu, Ila Sema Hapo kwenye kum-replace Ndo kipengele. Yule mwngine basi TU nyege za ghafla zinantesa mno, ila kiukweli hata nusu ya mamaJ hamfikii

Huyo demu anajua kuwa huezi kumwambia kitu yaani mkuu huna cha kumfanya...iko siku atasema umpe haki sawa na mkeo ukikataa anakuacha,utahaha sana mkuu.
 
Kitu huwa najiuliza mno.

WATU TUNACHEPUKA ILI KUPATA RAHA!

We mbona huyu mwanamke anakuendesha hivi?
hakiiii mimi kwa kusoma tu hivi visa, siwezi kumvumilia huyu mwaname hata sekunde.

unawezaje?
af sio kuwa HUKEREKI, unakereka!
SIO KUWA HUUMII, UNAUMIA!

sasa shida ni nini?
 
Matawi wa mwisho ni kua anajua ngono anaweza kufanya mpk masaa SITA Kwa mujibu wa DeePond afu ana utelezi sana! michepuko wake wengine hawana hizo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nnachopata kwake hamna mwanamke mwngn wakunipa
 
Bila hizo picha za meseji ilikuwa chai jaba hii

Halafu si ndio huyu, kuna kijana alikuwa anakula kimasihara tunda la mchepuko wako?
Message hizo unaweza kujitumia mwenyewe ka una simu 2 ....nachunguza mwandiko kuna mda naona ka mtu anajibishana mwenyewe hiv maana hata miandiko ni ile ilee
 

Dada zetu wanapitia kipindi kigumu, imagine wewe na akili ya hovyo hivi ni mume watu na una watoto naye?
 
Kuna kitu anaonekana yupo obsessed nacho afu kwa wife wake hawez pata zaidi ya kwa huyo mama j na inaonesha huyo ma j ashajua udhaifu wa jamaa so kaamua ajilie hela za mwamba tuu ...hamna lov hapo jamaa anapigwa hela na ashukuru hivyo vichange inaoneka vpo vpo
 
Ulimueleza jamaa jambo zuri sana, infact unajielewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…