Kuna Watu ni " Marriage Material" Na Kuna Wengine ni " Dating Material Only" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Watu ni " Marriage Material" Na Kuna Wengine ni " Dating Material Only"

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kaldinali, Sep 8, 2012.

 1. K

  Kaldinali JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu

  Leo nataka nitoe maada ambayo ntaomba na nyie mchangie ili kuipanua na kuifafanua zaidi ili pamoja tuweze ku-fill the puzzle na kujifunza (of course najua kuna baadhi ya nutcases (kama kawaida) watakuja na maoni ya dharau na matusi wakati watu tunajaribu kujadili mambo muhimu ya kijamii without disrespecting anybody).

  Over time i have come to realize kwamba kuna baadhi ya watu hawafai kuwaoa au kuolewa nao. Hawa ni watu ambao kwa wakati huo ulio nao in a relationship (na sometimes always) huwa hawako mentally or psychological ready for marriage. In other words, kuna baadhi ya relationship zinatakiwa kuwa strictly temporary and should never be turned into marriage.Watu hawa ni kama kunguru pori ambao kamwe hawawezi kubadilishwa na kuwa njiwa wakufuga(domesticated). Unapokuwa unatafuta mchumba wa kuoa ni vyema ukawa muangalifu na kuwa na uwezo wa kutofautisha kati ya watu wanaoweza kuja kuwa mke au mume bora na mtulivu vs. wale ambao ni watu wanaofaa ku-date only for a while.

  Si kwamba watu hawa wasio marriage material ni watu wabaya as such. Ukweli ni kwamba ni watu wazuri unaoweza kujenga nao urafiki na kuwa-date na mambo yakaenda vizuri tu na wote mkafurahia uhusiano wenu. Jambo la muhimu ni kuelewa tu kwamba thats all that will come out of that friendship or relationship (nothing more nothing less). Na muhimu kabisa ni kuepuka kufanya kosa la kujaribu kutaka kuwaoa au kuolewa na watu hawa wasio marriage material. Ukifanya kosa hilo utakuwa unatia maji kwenye gunia au kusubiri meli uwanja wa ndege. Utakuwa unajikosea wewe mwenyewe na kumkosea yeye. Ni muhimu kutojaribu kumbadili kunguru kuwa njia. it is a collosal technical mistake. However, a caviat is necessary here. Baadhi ya watu hawa (wachache) huwa kunguru for a while na huweza kuja kubadilika mbeleni due to (1) timing issue eg labda bado wadogo sana na hivyo ni immature at the time (2) circumstances - eg kuwa na shida nyigi mno zinazowalazimisha kuwa kunguru at the time. Kwa hawa wachache kuna tendency ya wao wenyewe kuja kubadilika baade (sio wewe kuwabadili) na kuwa njiwa after a long period of learning, growing or maturing.

  On the other hand, kuna baadhi ya watu ambao by virtue of their nature (just the way they are) ni watu watulivu, bora na wanaofaa kuoana nao (njiwa ambao by nature ni domesticated species). Watu hawa ni hard to find lakini ukijaliwa kuwapata basi utafanikiwa sana katika ndoa, maisha na furaha ya familia. Jambo la muhimu ni kuwa na uwezo wa kutofautisha na kuwajua hawa. Muhimu zaidi ni kuepuka imani ya kuwa unaweza kumbadili kunguru akawa njiwa. However, a caviat is also necessary in this case. Every now and then kuna tendency (over time) ya njiwa kuweza kubadilika na kuwa kunguru due to either avoidable or unavoidable circumstances. it is necessary to study your partner and catch signs of a njiwa that is about to go bad in order to stop them before they are damaged.

  Wakuu, ni muhimu sana kuweza kutofautisha njiwa na kunguru pale unapokuwa unatafuta mwenzi wa kujenga nae maisha na familia. Itasaidia sana harakati zako za kutafuta mme/mke mwema na kupunguza idadi ya talaka huku tukiongeza idadi ya familia bora na zenye furaha Tanzania.

  Nawakilisha.
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Mtaalamu wetu,

  Tuelekeze huyo anaefaa kuwa rafiki mzuri na mka-date na kufurahia lakini asiyefaa kuwa mke/mume ndo kakaaje?
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,697
  Likes Received: 8,232
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli katika uliyoyasema...n u were very smart including all those exceptions.
  Heheh...huez pata th whole package mkuu??! A kunguru while on dates n a njiwa kwa house??!
   
 4. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,856
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  well said mkuu, but kuna wengine huwa kunguru ktk dates ila baada ya ndoa akatulia mpaka ukashangaa. na watu wakasema dada/kaka flan kabla hajaolewa/oa alikuwa hashikiki ila baada ya ndoa katulia ajabu. kuwapata hawa ni nadra sana kwani huwezi kumbadili mtu bali mtu mwenyewe huamua kubadilika. na kuna wengine huwa njiwa "hasa sie kinadada ili tu kupata ndoa" na akishaingia tu mwanaume utajuta, hawa wapo wengi tu. .dawa ni kumwomba Mwenyezi Mungu atusaidie katika hili,ukizingatia twatoka ktk malezi tofauti!
   
 5. Root

  Root JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,217
  Likes Received: 12,928
  Trophy Points: 280
  Kunguru ni ngumu kuwa njiwa ila njiwa ni rahisi kuwa kunguru
   
 6. The Fixer

  The Fixer JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 1,361
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mie ni Husband Material !
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Afu 'vyunguru' wana mivuto balaa. Kuna mdada design hiyo ya kunguru alikuwa anatuambia "yani na huu uzuri wangu wote eti nimilikiwe na mwanaume mmoja; huyo mwanaume atakuwa mchoyo, wenzie je?". Japo alikuwa anasema kama matani...ndivyo alivyokuwa anawapanga.

  Ila kwa sasa ameolewa ...na sijuhi kama bado ni kunguru au kachenji kuwa njiwa.
   
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Ni kweli aisee. Hata wanaume kuna wa kuuzia sura tu. yaani unakutana na mtu hana hata focus ya maisha, hadi unamshangaa ana mpango gani na miaka hii michache aliyopangishwa na mwenye enzi Mungu.
  ni kosa kubwa kumuona mtu ana kasoro na kutegemea ndoa itambadilisha.
   
 9. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Wewe ni marriage material ????
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  What do you think of me? not that it will matter, I'm just curious manake kuingiza watu chaka is a hobby,lol
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  'dating material' lol
   
 12. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  So far so good, hehehe!
  So you can see yourself dating someone like me...
   
 13. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  someone like you?
  nope
  too high for me lol
   
 14. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hahhaa, but you look like perfect chwunaring material! With a thick skin.
  Kongosho hebu njoo u-analyse hii mbuzi kama nafaa kuwamba ngoma..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hahah

  Inanikumbusha hadithi ya Alice, Alice alifika kwenye njia panda akaulizia njia, akaulizwa unataka kwenda wapi? Akajibu sijui ninakoenda, akaambiwa kama hujui unakoenda, njia yoyote itakupeleka

  So you can find love kwa mtu ambaye unahisi ulikuwa ni wa kumchezea tu au wa kupitisha naye muda

  Na unaweza usioe au kuolewa na huyo 'marriage material' wako for the same reasons

  Nadhani wale ambao umri umekimbia sana ndio desparate(sp) to get married for the sake of it, hivyo tangu wanaanza dating hiyo agenda ipo, ila wengi inatokea tu humo naturally
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Ndoa ni nini?

  Asiyefaa kuoa/kuolewa hafai kwa sababu gani? Na sababu hizi ni kwa mujibu wa mtazamo wa nani?

  Je, asiyefaa kuoa/kuolewa kwa watu wanaopenda watoto sababu hapendi kuzaa, bado atakuwa hafai kuoa/kuolewa kwa wenzake wasiopenda watoto/kuzaa?
   
 17. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Maswali magumu sana ila nina jibu moja tu...

  Ndoa kwa akina dada hapa Tz ni 'A Tanzanian Dream '
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Mashaallah!
   
 19. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kina dada gani hao uliokaa nao kitako mkafikia hitimisho hilo?
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Sep 8, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ni ndoto kivipi na kwa nini?
   
Loading...