Kuna Watu ni " Marriage Material" Na Kuna Wengine ni " Dating Material Only"

Ni kweli aisee. Hata wanaume kuna wa kuuzia sura tu. yaani unakutana na mtu hana hata focus ya maisha, hadi unamshangaa ana mpango gani na miaka hii michache aliyopangishwa na mwenye enzi Mungu.
ni kosa kubwa kumuona mtu ana kasoro na kutegemea ndoa itambadilisha.

well said shostito, kuna wanaume wenyewe akili zao pombe, wanawake. hata ukikaa nae kupiga story hana la maana. yan ni dating material. but wengne utasikia nina plan ya kufanya hki na kile na kweli ana-achieve
 
Mkuu

Umetoa analysis nzuri na ya kweli. Can you please go further and expalin sababu ni nini inayofanya wadada wafagilie kuolewa wakati kina kaka hawafagilii . I think there is technical education in your observation

Sina uhakika sana, but zipo sababu kadhaa. Utamaduni wa kiafrika ni kuwa mwanaume ndiye anayechagua mwanamke wa kuoa. Hapa impact yake ni kuwa mwanamke asipoolewa inamaanisha hakuchaguliwa, na hiyo inajenga picha kuwa amekosa sifa nzuri.
Lakini pia mwanamke anahisi kuwa anahitaji msaada wa mwanamme katika mambo mbalimbali ya kukabiliana na maisha.
 
Kila shetani na mbuyu wake, inawezekana kwako akawa kunguru ila kwa mwenzio akawa njiwa. Hakuna asiyestahili kuoa/kuolewa maana hakuna aliyezaliwa na ukunguru. Ukiona upo na mtu na hajatulia kwako haimaanishi kwamba huyo sio wife/husband material completely.
 
Hivi we Kate leo umekumbuka kwenda kanisani?
 
hii thread imenikumbusha girlfriend wa rafiki yangu alikuwa na mambo ya kitoto,hela zote alikuwa anaspend kwa matumizi yasiyokuwa ya lazima kifupi alikuwa haoni mbali ,ila my friend alikuwa anatoka nae huku jamaa alikuwa ni mtu very formal,tulizani they will live forever together, ila soon after university aliachana nae tulipomuuliza alijibu she was not a wife material
 
Sina uhakika sana, but zipo sababu kadhaa. Utamaduni wa kiafrika ni kuwa mwanaume ndiye anayechagua mwanamke wa kuoa. Hapa impact yake ni kuwa mwanamke asipoolewa inamaanisha hakuchaguliwa, na hiyo inajenga picha kuwa amekosa sifa nzuri.
Lakini pia mwanamke anahisi kuwa anahitaji msaada wa mwanamme katika mambo mbalimbali ya kukabiliana na maisha.

Nakubaliana na uchambuzi wako
 
well said shostito, kuna wanaume wenyewe akili zao pombe, wanawake. hata ukikaa nae kupiga story hana la maana. yan ni dating material. but wengne utasikia nina plan ya kufanya hki na kile na kweli ana-achieve

Hii nimeipenda hii........dah, story ni biya biya biya....wanawake wanawake wanawake....hata ulianzishe ooh kuna kiwanja kinauzwa kijichi unapotezewa tu......
 
Back
Top Bottom