Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 872
Kina dada gani hao uliokaa nao kitako mkafikia hitimisho hilo?
Si mpaka ukae kitako na akina dada na kuhitimisha hilo, hayo ni mawazo yangu kwa jinsi ninavyowaona akina dada wengi wanavyokuwa before and after, yanaweza kuwa sawa au si sawa ndio maana nimesema ninavyoona mimi hiyo ni a Tanzanian Dream
Unaweza kuona hivyo, sivyo, vyovyote pia ni mawazo yako, you don't have to sit with people to justify your thinking ndio maana observation is allowed also wakati wa kutoa opinion