Strong Durable
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 487
- 721
Huku kichwa kinauma Kuhusu Kutafuta Pesa alafu Unatongoza Unapigwa za Uso alafu Tena Ubembeleze Watu wanafocus Kwenye kitu kimoja mengine yatajileta
Mwanangu dronedrake unaongea kwa hisia kali sana 😀kamla mbichi sana kabisa na chumvi ile nyekundu pembeni
huyu bibie kila muvi lazima alane mate, anapenda kweli
She fulani tuliekeana appointment ya kumdinya,hakutokea siku hiyo nikapiga kimya,baada ya siku 2 akanitext samahani sikutokea kwa sababu fulani nikamjibu OK, baada tena ya siku 2 akanitafuta face to face tena kwenye mishe zangu ooh samahani sana nikamjibu kuwa yeye bado hajakua hivyo hajui nini nataka kwake akasepa, tena baada ya siku 2 alinitext atakuja na tena alikuja bila chup..iKwenye maisha aisee Kuna watu hawanaga sjui Ile Kubembeleza Yani jibu utalotoa analibeba kuwa seriously au maamuzi anayofanya ndo hayo hayo
Akikutongoza mara Moja ndo imetoka iyo ukijibu no yeye harudi Tena manake anaamini mtu mzima akishasema hapana haina haja ya kutumia nguvu kumbadili..View attachment 2755550View attachment 2755551
Ha ha umenikumbusha scenario kama hiyo aisee.. Mie sikumkanda nilivaa fresh nikasepa. Alikuja nitafuta siku ingine nikamla fresh tuKuna mmoja nilimuita hotelin.. akala, akanywa.. mida inasogea nikaomba game (Tupo chumbani) akaanza kuleta habari za kumtongoza sijui nina future nae maswali meeengi.
Nikaona huyu atanipotezea muda wa kumkanda.
Nikafos game.. akanikatalia, aah nilichofanya nikavaa vzr nikasepa.
Niko Ground floor anapiga simu ohh njoo nilikuwa naogop for the first time univue chupi blah blah blah nyingi.
Nikarudi kumshughulikia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao ndiyo wanaume, na tumebaki 8 Dar es salaam yote, Tanzania nzima tupo 367.
Hii tulimaliza zamani sana na minutes za kile kikao zipo katibu aliziandika kabisa.Hakuna kubembeleza mtu.Hili mbona tulishakubaliana na kulipitisha kwenye mkutano wetu mkuu mwaka 2020.
dronedrake tupatie nakala ya azimio hilo
Cc Extrovert
Wajinga sana wanatingisha kiberiti... hahahHa ha umenikumbusha scenario kama hiyo aisee.. Mie sikumkanda nilivaa fresh nikasepa. Alikuja nitafuta siku ingine nikamla fresh tu
Acha uwoga...Kuna comments za kibabe sana naziogopa
Smart911She fulani tuliekeana appointment ya kumdinya,hakutokea siku hiyo nikapiga kimya,baada ya siku 2 akanitext samahani sikutokea kwa sababu fulani nikamjibu OK, baada tena ya siku 2 akanitafuta face to face tena kwenye mishe zangu ooh samahani sana nikamjibu kuwa yeye bado hajakua hivyo hajui nini nataka kwake akasepa, tena baada ya siku 2 alinitext atakuja na tena alikuja bila chup..i
Kwa kubembeleza tu hiyo kazi nimeifanya sana[emoji23][emoji23], nikasema huyu mbona kanishikia akili hivi[emoji23][emoji23]Hebu msitutishe mbona me wangu ananibembeleza [emoji1787]
Countrywide si eti laaziz [emoji85]
Nawe uje basi...
Waambie hao 😘💋Kwa kubembeleza tu hiyo kazi nimeifanya sana[emoji23][emoji23], nikasema huyu mbona kanishikia akili hivi[emoji23][emoji23]
NibembelezeNawe uje basi...
Nitakufungulia mlango wa nyumba na funguo utakaa nazo...Nibembeleze
Kuna siku chozi lilitaka kutoka[emoji23]Waambie hao [emoji8][emoji182]