Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,657
Kwenye maisha aisee Kuna watu hawanaga sjui Ile Kubembeleza Yani jibu utalotoa analibeba kuwa seriously au maamuzi anayofanya ndo hayo hayo
Akikutongoza mara Moja ndo imetoka iyo ukijibu no yeye harudi Tena manake anaamini mtu mzima akishasema hapana haina haja ya kutumia nguvu kumbadili..View attachment 2755550