Kuna watu katika ulimwengu huu ni "un'guswable"

Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,621
16,373
Habarini wakuu,

Kuna watu katika ulimwengu ni un’guswable. Yaani kiasili tu jinsi walivyo hawa watu hawagusiki kwa namna yoyote ile.

Ni watu ambao ulimwengu unawalinda kwa kila namna katika maisha yao yote. Hakuna namna yoyote unaweza kumfanyia ubaya mtu wa aina hii na usilipizwe mara.

Hakuna namna unaweza kumsema vibaya mtu wa aina hii na usilipizwa hata kabla mdomo wako haujamaliza kutamka maneno.

Ni watu ambao ukicheza nao ni lazima uaibike na mbaya zaidi unaweza hata usibahatike kuiona siku ya kuaibika kwako, ila historia itajiandika yenyewe.

Unaweza zushia watu uchawi lakini kumbe siyo, ni kanuni tu za asili za ulimwengu zimeamua kuwachagua kuwalinda watu fulani.

Hawakufanya lolote ili wawe hivyo, na hawafanyi lolote ili wawe hivyo, ni kanuni za asili zimewachagua. Ni watu ambao tunapatwa kuwa nao makini ili maisha yetu yasiharibike upesi.

Ila kibaya zaidi ni kuwa hatuwezi kuwatambua kwa kuwatizama macho yao wala matendo yao na hata wao hawajijui kuwa wako hivyo.

Hivyo tupo tumechangamana nao katika ulimwengu wenye fujo na makwazo yasiyo koma. Tunasukumwa kutenda mengi lakini usalama wetu unazidi kukalia nyuzi nyembamba.

Sasa tutafanyaje ili tubaki salama? Kuwa watulivu, kwa sababu huwezi kujua ni nani hasa unashughulika naye. Usimseme mtu ubaya bila sababu yoyote. Usimtendee mtu ubaya. Usiwe chanzo cha tatizo na kama tatizo likitokea usiwe sababu ya tatizo hilo kuendelea kuwapo na kukua.

Jaribu kuweka mambo sawa kadri utakavyoweza. Haimaanishi uwe mnyonge bali simama katika haki. Ulimwengu utatenda haki hata kama binadamu wasipotaka. Asili huweka msawazo kwa kila kitu.

Nakutakieni ukaribisho mwema wa mwaka upya.
 
Inaitwa nyota* wanawake utawakuta hata akipita wanaume wanamkombania..

Ogopa sana kuoa mwanamke mwenye nyota. Utakimbizana nae sana
 
...a.k.a Ngekewa....

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
It's just karma in other way.. we huwezi kuwa unawafanyia ubaya watu then ww ukawa hio untouchable.
 
Habarini wakuu,

Kuna watu katika ulimwengu ni un’guswable. Yaani kiasili tu jinsi walivyo hawa watu hawagusiki kwa namna yoyote ile.

Ni watu ambao ulimwengu unawalinda kwa kila namna katika maisha yao yote. Hakuna namna yoyote unaweza kumfanyia ubaya mtu wa aina hii na usilipizwe mara.

Hakuna namna unaweza kumsema vibaya mtu wa aina hii na usilipizwa hata kabla mdomo wako haujamaliza kutamka maneno.

Ni watu ambao ukicheza nao ni lazima uaibike na mbaya zaidi unaweza hata usibahatike kuiona siku ya kuaibika kwako, ila historia itajiandika yenyewe.

Unaweza zushia watu uchawi lakini kumbe siyo, ni kanuni tu za asili za ulimwengu zimeamua kuwachagua kuwalinda watu fulani.

Hawakufanya lolote ili wawe hivyo, na hawafanyi lolote ili wawe hivyo, ni kanuni za asili zimewachagua. Ni watu ambao tunapatwa kuwa nao makini ili maisha yetu yasiharibike upesi.

Ila kibaya zaidi ni kuwa hatuwezi kuwatambua kwa kuwatizama macho yao wala matendo yao na hata wao hawajijui kuwa wako hivyo.

Hivyo tupo tumechangamana nao katika ulimwengu wenye fujo na makwazo yasiyo koma. Tunasukumwa kutenda mengi lakini usalama wetu unazidi kukalia nyuzi nyembamba.

Sasa tutafanyaje ili tubaki salama? Kuwa watulivu, kwa sababu huwezi kujua ni nani hasa unashughulika naye. Usimseme mtu ubaya bila sababu yoyote. Usimtendee mtu ubaya. Usiwe chanzo cha tatizo na kama tatizo likitokea usiwe sababu ya tatizo hilo kuendelea kuwapo na kukua.

Jaribu kuweka mambo sawa kadri utakavyoweza. Haimaanishi uwe mnyonge bali simama katika haki. Ulimwengu utatenda haki hata kama binadamu wasipotaka. Asili huweka msawazo kwa kila kitu.

Nakutakieni ukaribisho mwema wa mwaka upya.
Nafikiri na mimi ni mmoja wao! Ulichokiandika kina ukweli kwa 100%!! Ingawa hakuna njia yoyote ile ya kitaalamu ya kuthibitisha.
 
For sure kuna Watawala, Hao ndio unaowazungumzia na watunza Bustani/dunia. Watawala ni wachache sana na Watunza bustani ni utitiri
 
Back
Top Bottom