Kuna watu hufa mara mbili

Kuna watu hufa mara mbili

Dead-Bodies.jpg
 
Kuaga maiti tu huwa nahisi nguvu zinaniisha mwilini kama nataka kudondoka ije huko hapana asee
Nakushauri njoo siku moja walau tukae hata lisaa.. Utaona mengi utajifunza mengi na woga utapungua
 
Nakushauri njoo siku moja walau tukae hata lisaa.. Utaona mengi utajifunza mengi na woga utapungua

Hivi huko si maiti zingie kama sio nyingi huwa ni migomba? maana zamani tunasimuliwa wachawi wakibeba mtu wanaweka mgomba?

je unaziona huu ni mgomba sio mtu?
 
Hivi huko si maiti zingie kama sio nyingi huwa ni migomba? maana zamani tunasimuliwa wachawi wakibeba mtu wanaweka mgomba?

je unaziona huu ni mgomba sio mtu?
Kwa macho ya kawaida zote ni maiti
 
Hapana sijawahi pia.. Niamini nikuambiacho.. Kweli kabisa sijawahi kuwanga hata kwa fikra tuu

waefeso 6:12

12 Kwa maana kushindana kwetu sisisi juu ya damu na nyama;bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

wewe cheo chako ni kipi hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom