Kuna watu hawakustahili ndoa

Kuna watu hawakustahili ndoa

Hawajaanza hawa wake zetu wamerithi kwa lithi mwanamke wa kwanza aliumbwa na Adam akawa jeuri na kibuli Adam akashindwa kuvumilia akamshitakia kwa mungu ndipo akaumbiwa hawa badala yake akasema huyu ni mifupa ktk mifupa yangu nyama ktk nyama zangu huyu anafanana nami kama umeoa lithi fukuza tafuta hawa
 
Mlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji
[emoji23] [emoji23] Wanawake huwa mkiolewa mnajisahau sana, wengi wenu mnataka kuishi maisha yaleyale ya enzi za Uchumba . Ndoa inahitaji uvumilivu
 
Wanawake wa Kigalatia wanajivunia Cheti cha kanisani. Siku nimefikia mwisho wa uvumilivu asifikiri hata nitamtaarifu nitamtoa mkuku na masanduku yake
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Waswahili hawafai kuwatoa mkuku atapata kisinguzio cha kuachana na wewe hafu utajikuta umalisha na pesa nyingine anapata kupitia mgongo wa watoto, hapo unaanzisha ndoa nyingine tu hafu unakuwa unahesabu age za watoto wakivusha miaka 7 tu unawachukua
 
ASANTE MKUU. NITALIFANYIA KAZI HILI
 
Najuta kuoa huyu mwanamke aisee. Bora kununua makahaba tu
 
SIO KUNA WATU. NI SIO WANAWAKE WOTE WALISTAHILI KUOLEWA ILA TU BAADHI NA NDIO MAANA WAO WAKO WENGI KULIKO WANAUME...KWAMBA TUCHAGUE CHAGUE TUPATE TUNDA ZURI...
Sema mleta uzi wewe si mchaguzi mzuri.
 
Mlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji
umeongea maneno mazito sana.
nasikitika kuwa mshauri mkubwa wanaume wenzangu ni kichwa cha chini (tamaa ya mwili)
mwishowe ni majuto.
hivi sifa tajwa hapo juu hazikujionyesha awali? la hasha, bali tamaa ilichukua nafasi kubwa.
mtu mwema huonekana usoni, uso husema yote yaliyojificha moyoni, na mtu hamuwezi kuwa karibu zaidi ya mwezi usiijue tabia yake, lkn huwa tunapuuzia hadi yatupate.
ona amepoteza miaka 6.
hii inaitwa "miaka kuliwa na madumadu, parare na viwavi"
 
Pole, huyooo ni chaguo lakoo[emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji442]
 
Mlikaa kwenye uhusiano muda gani na ulimuoa sababu ipi
Tatizo wengi wenu mnataka toto jeupeee shepu hilo mara shombeshombe masela wakupigie salute wakina asha ngedere wamewavumilia tangu chuo mnanuka vikwapa hata deodorant hamjui manawapiga chenga na kujirusha na wadada wa mjini madai watafutaji kumbe wadangaji

Kama nakuelewa sana, wanaume tunatabia ya kubeba vilivyoundwa tayari, ila kuvifanya vielee hatuna muda huo
 
Mungu tusaidie katika hili. Chungu tunaiona. Inafika wakat unajuta hata kwa nn ulimuoa mtu huyu
watu wanashi wakiigiza ila akifika kunako ndoa anaishi masiha yake halisi ndo hayo ya ukorofi usio na tija na kumbadilisha ni kazi nzito ni kumuomba Mungu atende yake
 
[emoji23] [emoji23] Wanawake huwa mkiolewa mnajisahau sana, wengi wenu mnataka kuishi maisha yaleyale ya enzi za Uchumba . Ndoa inahitaji uvumilivu
Sasa hapo wa kuvumilia ni mwanamke au mwanaume?
 
Wanawake wa Kigalatia wanajivunia Cheti cha kanisani. Siku nimefikia mwisho wa uvumilivu asifikiri hata nitamtaarifu nitamtoa mkuku na masanduku yake
Hamna kitu kinakarahisha kama maneno yenu
Ya nitamfukuza na mabegi yake as if hana jema alilokufanyia!
Nadhani unahitaji Kwanza kubadilika kabla ya Mwenzio kubadilika
 
Baadhi ya Watu (bila kujali jinsia) kwa tabia zao hawakustahili kuolewa/kuoa.
1. Mtu ana-complain kila kitu hata kama ni cha maendeleo ya familia. 2. Anaweka vitu moyoni (hata kama uliomba msamaha na kujirekebisha) miaka na miaka. Siku akikumbuka utajuta kumjua.
*Ndoa ni chuo cha kuvumiliana na msamaha.
** Mola tupe busara kwenye ndoa hizi na wadada wa mwendokasi. Unaishi na mtu ana matusi utadhani hajafundishwa kwao.
Pole sana mkuu,ndoa ina mambo mengi sana ila cha muhimu ni kuheshimiana,kupendana na kuelewana.Kama kuna mmoja wenu alifuata kitu kama madaraka au pesa za mwenzake ni ngumu kudumu katika ndoa.
 
Back
Top Bottom