Kuna watu hatuna bahati

Daaah nakushukuru Mungu na nasema tena Ahsante.

...
Kuna wenye mazito zaidi yako so ukikaa kuwatafakari utajikuta unamwambia 'Mungu ahsante'
...

atoto, nadhani tumshukuru Mungu kwa vile tulivyo (vyovyote vile). Sio kwa sababu kuna wenye shida zaidi yetu.
 
C vizuri kama mtu yupo serious mtu akamkejeli...especially kwwnye swala la ugonjwa kama hili!!
 

godbless you,na nishakidownload hko kitabu hope kitanisaidia
 
nashukuru mkuu kwa ushauri

After roll usiamini kwa asilimia mia...Mimi Nina kaka angu aliambiwa hazai bse sperm zake hazikimbii cjui hazina kichwa but suddenly tukashangaa mkewe ana mimba Na mkewe ni muadilifu sana Hamna shaka km amepewa nje hiyo mimba Na yupo tayari kwa DNA
 
 
Siku zote haijalishi binadamu anasema nini juu yako au unapitia nini cha Muhimu kumbuka kuna Mungu, mtumaini yeye, mtegemee yeye na Muamini yeye tu, kwani kwake yeye yooooote yanawezekana na ndie mwenye jibu la mwisho
 
Usiwaze kabisa maisha yapo sana.kwa upande wako kwa sasa kazana kupiga kitabu.kupata mtoto siku hizi ni kitu rahisi sana tafuta maisha kwanza ndugu.
 
Pole kijana dk sio Mungu. Mara ngapi mtu anaambiwa muda wako wa kuishi miexi kadhaa lkn anadunda miaka? Yupo dr bingwa alimhakikishia mama mmoja kwambaasigeata mtoto lkn ajabu yule mama alipata mtoto. Mby zaidi yeye ndiye aliyemzalisha kwa opereshebni. Dr akazidi kuropoka yaani hili ndip lilikuwa yai la mwisho kbs. Mama akarudi home kwa furaha akaendeleza mgegedo bila tahathari maana hana wasi2 kudadadeki miezi 3 tu mimba hii hapa. Ni kweli kbs ilitokea kcmc. Hivyo jipe noyo usikate tamaajichunge waweza barukiwa
 
atoto, nadhani tumshukuru Mungu kwa vile tulivyo (vyovyote vile). Sio kwa sababu kuna wenye shida zaidi yetu.

Labda ulinielewa vibaya, thats what i ment, ndio maana nilianza kwa kumshukuru Mungu, na kwa bahati mbaya binadamu huwa tunajisahau na kulaumu tuuu, ila twapaswa kushukuru na kushukuru kwa vile vichache tulivyonavyo na sio kulaumu tu kwavile tusivyokuwa navyo maana kuna wanaotamani hivyo vichache tulivyonavyo.
 

Nadhani nimekuelewa. Asilimia kubwa wamebaki kujutia walivyokosa badala ya kutumia fursa ya walivyonavyo!

Kwa al-baajun, una kila sababu ya kuishi kawaida japo roho itauma kwa muda. Kumbuka, lisilotarajiwa/hutokea kwa yoyote wakati wowote.

Tumia akili na maarifa yako yote kufanyia kazi ulivyobaki navyo. Na usipuuzie wenye kujua wanapokushauri. Umekosea. Kubali halafu kaza roho songa mbele.

Yaliyopita siku zote ni funzo na ramani ya uendako. Kamwe historia isikuzuie kutumia fursa za sasa na zijazo.

Ulivyo, unajitosheleza.
 
Last edited by a moderator:
Tafuta mwanamke ambaye hawezi kuzaa na muadopt watoto muishi pamoja.

Hapana Asifanye Hvyo, Aoe Tu Mwanamke Fresh Tu Atakapopata Tiba Kwenye Competent Herbalists, Kumbuka Magonjwa Yasiyokuwa Na Dawa Duniani Ni Mawili Tu, i)Uzee & ii)Kifo Magonjwa Yote Yana Tiba Sema Kuna Watu Hupenda Kukatisha Tamaa Wenzao Kwa Kujiona Wao Wakishndwa Wengine Hawataweza Ktu Ambacho Si Sawa, Apite Kwenye Maheble Klinik Tofauti Tofauti Na Ajieleze Knagaubaga Atapata Tiba Nina Uhakika Inshaalah.
 
After roll usiamini kwa asilimia mia...Mimi Nina kaka angu aliambiwa hazai bse sperm zake hazikimbii cjui hazina kichwa but suddenly tukashangaa mkewe ana mimba Na mkewe ni muadilifu sana Hamna shaka km amepewa nje hiyo mimba Na yupo tayari kwa DNA
dah thanks mummitto and @Fundisi Muhapa yaani mmenifanya nijiskie mzima tena,sitokataa tamaa wala sitolaumu right now nafauata masharti nakula dawa na mazoezi daily nafanya i hope mungu ataniangalia tena na kuniwezesha na ntasahau kama nina matatizo
 
Under the same Sun! Ni marufuku kukata tamaa. Inshaallah Mwenyezi Mungu akutangulie na kukufanyia wepesi katika hilo. "Hakuna mtihani usiokuwa na majibu" ...by Nash Mc
 
natamani iwe hivyo,lakini nikisoma net naona dah ni ngumu ila naamini mungu ataniwezesha

Ila ni tatizo dogo sana ukimwamini Mungu.Wapo waliopona Ukimwi kwa kuombewa tu.Weka imani yako kwa Mungu,nenda kaombewe utapona tu!
 

kwanza pole mkuu na kiukweli nimeona makubwa kuliko hilo na yakipona bila kutegemea lakini sio kwa ushirikina,my advice:jichange(maana umesema maisha yako magumu) au tafuta msaada uweze kupata nauli na pesa kidogo ya kujikimu kwa siku tatu kisha uwende lagos-nigeria kwa "tb-joshua" huyu ni mtumushi wa mungu ambaye ameyafanya makubwa sana na kumaliza matatizo zaidi ya hilo...hapo ndipo mahali pekee ambapo nina imani tatizo lako litakwisha ikiwa ulishahangaika kote hapa nchini bila mafanikio!
 

Wasiliana na huyu kiongozi MziziMkavu huyu ni bingwa wa hayo magonjwa utapona trust me!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…