Pole sana mdogo wangu najua hali unayopitia ni ngumu sana ila inatakiwa umuombe na kumshukuru mungu japo kwa hiyo hali uliyonayo.
Kaa ukijua Binadamu wote wanamachungu na matatizo mengi yanawasumbua nafsi zao sio wewe tu mdogo wangu inabidi uwe strong tu.
You're special my bro believe me coz kila kitu kinatokea kwa mpango wa mungu na wewe ndiye mtu special uliyechaguliwa na mungu sababu wewe ni strong na unaweza kukabiliana na tatizo hilo bila kuteteleka, ambapo angepata mtu mwingine basi inawezekana asingeweza kukabiliana nalo na angekufa mara moja..
Mwanafalsafa mmoja aliwahi kusema..." You will never know how strong you're until being strong is the only choice you have"
Kuna movie moja niliiyona December mwaka jana inaitwa The Fault in our Stars...kisa chake ni kizuri kinaelezea jinsi ya kukabiliana na hisia za mapenzi unapokuwa una tatizo la kiafya..itafute inaweza kukupa mwanga..