Kuna watoto wanajua kucheza duniani

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,043
21,517
Haka katoto kakuitwa angel ambacho kapo based uholanzi aisee ni moto. Needn't to say more.....
 
Mbona sioni cha ajabu mkuu!! Halafu ni yupi Kati ya hao watatu? Maana naona wako sawa tu!! Na je, hako ka toto ni kabinti kako unakapigia promo?
 
Anacheza vizuri lakini umempaisha mno bana et dunia nzima, we hata got talent hufatiliagi
 
Mbona sioni cha ajabu mkuu!! Halafu ni yupi Kati ya hao watatu? Maana naona wako sawa tu!! Na je, hako ka toto ni kabinti kako unakapigia promo?
Hahaha, ni hako ka Kati mkuu, ukitaka kuona moto wake zaidi nenda kwenye insta account yake @angelafrodance
 
Back
Top Bottom