Kuna wanawake wazuri balaa!

Anaitwa Helen mzee baba, mdogo wake ndio Doreen Mbise.
 
We jamaa bana unajitia ujasiri kipumbavu sana,wakati unajijua utazeeka bado ukiwa mtanzania mnyonge
 
Dada yako anavyo?
swali zuri sana hili mkuu maanake kuna wanaume wazuri sana katika kuchambua ubaya na uzuri wa wanawake wakati unakuta ndugu zake wa kike kuanzia mama,dada mpaka shangazi ni migomba plus sura za baba zao.
 
Huyu demu namuona sana pande za Muheza tanga ,ana wenzake wawili wao ni kula bata tu
 
Hao wako watatu kuna lile lenye mahipsi linaitwa makaaya yaani linanitoaga udenda, na mwingine Doreen mbise,yaani mademu ka hawa ndo wamenifanya niwe nazengeazengea insta
Njoo Muheza tanga mkuu hua nawaona sana pande hizi
 
Sorry to say ila unawaza upupu sana, fanya maisha yako hivi vitu vitakuja tu unaumiza kichwa utafikiri umepewa mtihani ukifeli utakata roho
 
Kichwani sasa huyo amebeba matope
 
Nenda pale ushirika wapo wanasoma pale ndo wanaingia mwaka wa pili, wanakula bata sana ao mamanzi yani kuzunguka mikoani ni sawa na kupanda daladala kutoka sinza mori kwenda Bamaga
ushirika moshi au?
 
Wekaa tu kwenye foleni huku ukitafuta hela mkuu. Wanaowatumia kwa sasa wakiwachoka na kuwatemabaada ya kuona wamepoteza mvuto na kuwa nje ya soko hujikuta wanakosa kampani kabisaaa hivyo ndo utakuwa wakati wako na wewe foleni imekufikia taa za kijana zimekuruhusu kupita. Hapo utaamua mwenyewe upite kwa kasi au polepole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…