Nakazia japo hawatabirikiSiku ukizeeeka siyo mwajuma miguupande Wala mke wako atakaekuzingatia
una honga pakubwa, wewe unakula padogo, nyumbani viazi mbatata, dah 🐒Sikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida:
- Ugali dagaa tembelee,
- Chai na vitumbua vya mama salma mtaani,
- Wali maharage nyama,
- Jumapili ndio ugali kuku,
- Pilau ni siku za sikukuu.
- Mke anaambiwa atumie vizuri sukari na mafuta vimepanda bei.
Ila kwa mwajuma miguu pande mkikutana mara 4 au 5 kwa wiki;
- Kitimoto na chachandu, castle light, nyagi
- Pizza hut
- KFC
- Chips zege kuku mkavu
Wanaume tunatumia energy kubwa sana kusaka maisha lkn wanaofurahia maisha ni wengine yaan mke, watoto, ndugu na watubaki wengine....siku nguvu zimeisha unatoswa unajionaNakazia japo hawatabiriki
Ndio necha ilivyo mkuuWanaume tunatumia energy kubwa sana kusaka maisha lkn wanaofurahia maisha ni wengine yaan mke, watoto, ndugu na watubaki wengine....siku nguvu zimeisha unatoswa unajiona
hili ni jambo bayaSikatai chakula ni chakula tu, ila hakuna asiyependa kula mapocho pocho. Usijitetee eti hautaki kulisha masumu ya kizungu watoto wako hahahah, mara nyingi msosi nyumbani kwao hawa jamaa inabaki tu basic ya Mtanzania wa kawaida:
- Ugali dagaa tembelee,
- Chai na vitumbua vya mama salma mtaani,
- Wali maharage nyama,
- Jumapili ndio ugali kuku,
- Pilau ni siku za sikukuu.
- Mke anaambiwa atumie vizuri sukari na mafuta vimepanda bei.
Ila kwa mwajuma miguu pande mkikutana mara 4 au 5 kwa wiki;
- Kitimoto na chachandu, castle light, nyagi
- Pizza hut
- KFC
- Chips zege kuku mkavu
Ikiwa mkeo anakuuliza maswali haya halafu ukamjibu,uanaume wako ni wa mashakaMlioolewa punguzeni vidomo domo, punguzeni kuwa ma-monitor kila mara uko wapi, leo nilikupigia kwa nini hukupokea, mbona unachelewa kutoka kazini wenzio wanawahi kurudi.....