Ashura9
JF-Expert Member
- Oct 21, 2012
- 740
- 485
Nilifuatwa na binti mmoja akilalamika kuwa amepata mchumba mzuri kwa kila jambo kasoro hawezi kabisa kumpa busu. Je, huu ni ugonjwa au ni nini? mimi binafsi sijawahi kusikia mwanaume asiyejua kupiga busu, hii ni mpya.....
Kwa busu namaanisha yote, french kiss na mabusu mengine. Huyu jamaa ana miaka 40 na binti 28yrs sidhani kama ni kukosa experience..
Kwa busu namaanisha yote, french kiss na mabusu mengine. Huyu jamaa ana miaka 40 na binti 28yrs sidhani kama ni kukosa experience..