kuna wana jf wanalala kama awa jamaaaaa

kuna wana jf wanalala kama awa jamaaaaa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
873732_%C3%AFSEUNWEN%C3%82%C3%AF_jpgbc39879d1fb7529070bbaae85eb27179
 
873732_ïSEUNWENÂï_jpgbc39879d1fb7529070bbaae85eb27179.jpeg

kuna watu wanalala kiajabu ajabu,nawaurumia wake zao
 
hakuna m2 anaejijua kuwa analalaje unaweza kujikuta ata wewe unalala hivyo hivyo, km huamini mhulize mkeo/mmeo.
 
hakuna m2 anaejijua kuwa
analalaje unaweza kujikuta ata wewe unalala hivyo hivyo, km huamini
mhulize mkeo/mmeo.

kila mtu anawaza tofauti na mtu mwingine kila sekunde hapa duniani....mwaaaah jf.
 
mkuu kungekuwa na shule ya kupata usingizi vema wengi wangeenda na tuition zake zingekuwa nyomi muda wote.

Lakini inabaki kuwa kilema kwa kila mmoja na style yake.
 
wengine wanalala kama wanachekesha,mimi najua nalala vizuri,nikilala nakuwa mzuri zaidi
 
Hawa mbona kama wanaumwa ule ugonjwa wa miguu na midomo siukumbuki unaitwaje tena kitaalamu? Sotoka? Waliosoma Agriculture pale URU Seminary wataukumbuka I hope!
 
Kulala ni kulala 2 jamani,acha msingi ni kuchunga usije ibiwa mkeo tuu.
 
Back
Top Bottom