William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.
Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia
Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.
Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?
Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.
Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE