Kuna wakati Mbowe ananichekesha sana

mbowe ni sumu sana kwenye chadema kuliko hata zito sema watu hawajajua tu maana chadema weng washalishwa limbwata lolote analosema mbowe na slaa huliona ndo sahihi
 
Unajua kabla ya kukusapoti ntaangalia michango yako mingine huwa simtofautishi Zito na Mbowe Hata kidogo

Baada ya post hii Chadema ndio wakafungua kesi kupinga uchaguzi. Mwenyekiti Mbowe Alikuwa kafunika kombe tu. Na kesi hizi zilifunguliwa ushahidi tu.

walikuwa wapi tokea mwanzo. Vipi walimuamini pinda wakatulia tu. Inamaana mpaka sasa hujuma za ccm hatuzijui tu.
 
Huu uzi najaribu kuusoma hata siuelewi, mambo ya Pinda na Mbowe wapi na wapi?!

Unaonekana ulikuwa unataka ukapige hela za ujumbe wa Bunge la Katiba ukabanwa ndio ukaja jf kulia lia.
 
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.

Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia

Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.

Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?

Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.

Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE
Unajua ukikaa nje ya uwanja kila mchezaji unamwona choko yaan unaona ww unajua mpira kuliko walio uwanjan lkn ukipewa jez nawe uingie uwanjan ucheze lazima ulimi ukutoke na ndiko siku utajua kuwa hujui

Ebu vaa ww viatu vya mbowe kwa CCM hii uone km ujafyata asubuh hata kabla jogoo ajawika ukawa kibaraka saf kabisa unasubir maagizo tu kutoka kwa mkuu
 
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.

Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia

Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.

Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?

Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.

Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE

Anzisha chama chako kaka. Hivi vyama vya team Nyerere vipo na vina agenda yake. Ni uzalendo kwanza na siasa baadae. sasa mtu apanda ndege na machapisho ya wazungu ili aje kuwa Rais? Rais wa nchi ya kusadikika?
 
Alianza kwenye kupata wajumbe wa bunge la katiba . akamfunga mdomo Tundu Lissu akasema funika kombe mwanaharamu apite. raisi akateua wajumbe 201. baaadae CHADEMA ikaachwa solemba CCM wakafanya yao.

Kaja kwenye SCROW eti upinzani na serikari wamekaa wakakubaliana!! maamuzi yafanywe na mamlaka za uteuzi.(watuhumiwa namba moja) tena kwa Usanii wako sasa ukamtoa waziri mkuu kwenye watuhumiwa "Waziri mkuu kuwa mkali kidogo" ndio hivyo bwana ela zishaliwa hakuna cha kurudishwa tunafunika kombe pia

Uchaguzi serikali za mitaa sasa takribani wagombea 3000 wa CHADEMA walienguliwa. Hapa naushaidi wa kutosha viongozi wa wilaya wakakupia simu wakati wa rufaa ukawa hujari. Wengine tulipanda magari hadi dar kuja kuonana nawe mwenyekiti. Ukatulea usanii wako tena. Ukasema umeongea na Mizengo Pinda YULE uliyemuokoa kwenye ESCROW tukakuamini. kampeni zimeanza za uchaguzi we upo kimya na wagombea hawajarudishwa. pale ulipomtoa kwenye watuhmiwa kwa kumwambia awe mkali . akakuthibitishia pingamizi zote zitafutwa ukaachwa solemba.

Sasa Nauliza haya maswala MBOWE HUJUI AU UNATUZUNGUKA?

Tunajua wazi kuwa siasa ni kuvutana kisha mnakubaliana sasa kwanini makubaliano mengi mwisho wake ni CHADEMA KUUMIZWA TENA KWA MAKUBALIANO UNAYOYARATIBU WEWE.

Yapo mengi sana tunayoyaona sisi wachunguzi wa ndani kabisa wa mambo kama ulipata ngao wa esrow Rudisha jua CHDEMA NDIO KIMBILIO LA WANYONGE
Ile issue ya Bob Amsterdam na ICC imeishia wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom