Kuna wakati lazima kuwa mpole

Kuna wakati lazima kuwa mpole

hakuna kiumbe ninachokiogopa na kukichukia kama nyoka kwa kweli hapa duniani. hakuna!!
 
mkuu hichi kidudu cha pori kinaniimpress sana kwani huwa hakiogopi mnyama wowote wa porini,hv kina nn cha ziada maana yake nikifikitia mfano sumu ya koboko ilivyo kali ndani ya dkk tano lazima ufe halafu kanamtafuna koboko kama hakana akili nzuri kwa kweli huwa nashangaa sana
Kujiamini tu ila kina ngozi ngumu kile kidubwana acha kabisa
 
Hivi ni mongoose au ni honey badger?
HAWA wana tofauti mkuu huyu honey badger ana rangi nyeusi na nyeupe...wakati mongoose ni rangi tofauti lakini wote hatari sana na wanaua nyoka kama hawana akili...kinachofurahisha ni ule ujasiri wao wakati wa kumkabili cobra au black mamba...
 
Back
Top Bottom