Kuna wageni kutoka kolomije je siyo misikule kweli?

Gwajima alikamatwa kwa Mara ya pili na kupekuliwa kwa Mara ya pili juzi lakini hakuna aliyejitokeza na kueleza ni kwa nini Gwajima alikamatwa na kupekuliwa kwa Mara nyingine na hakkuna aliyeeleza kitu ambacho kilikuea kinatafutwa katika upekuzi huo.

Tukio lenyewe limetokea baada ya Gwajima kutangaza kuwa ana vyeti vya Daud Basite ambavyo Ina semekana kuwa ndivyo vyeti vya Makonda ambaye ana tuhumiwa kutumia vyeti visivyokuwa vyake.

Ukiangalia usiri uliopo katika kukamatwa na kupekuliwa kwa mars ya pili,Gwajima ana weza akawa sna ukweli fulani na ambacho kitakuwa kilikuwa kinatafutwa ni vyeti ambavyo Gwajima alisema kuwa anavyo na Kama Gwajima atavionyesha hadharani Kuna hatari ya kushitakiwa kwa kosa la kughushi na kupatikana na nyaraka za serekali bila halali.
 
Mi bundle limejaa tele Baba Askofu akianza tu nipo mubashara mi nashangaa sana hili swala haliishi mbona kama ingekuwa mimi ningetoa cheti changu original na kufingua jesi za defamation angenigawia sadaka kidogo sasa mkuu wangu hafanyi hivyo hilo ni doa kubwa sana wache watu waseme yeye wakati anamtaja Baba Askofu alimtaja kwa mbwembwe leo ngoja naye aongelewe mheshimiwa kikwete Alisema ukipenda kula vya watu na vyako lazima viliwe
 
Sifa kuu ya Gwajima ni kufufua misukule!! Sasa Leo ni siku ya pekee ambayo amesema ataanika vyeti vya Daudi bashite!! Kwanza huyo bashite nahisi ni msukule mmoja wapo!! Na wageni Wa Leo je siyo misukule ambayo itasimulie juu ya msukule mwenzake Daudi bashite???? Twende kanisani tukashuhudie ugeni huu!!
Kweli wewe mgeni
 
Back
Top Bottom