Kuna Wachepukaji wapo smart sana kichwani

Kuna Wachepukaji wapo smart sana kichwani

Hivi unajua kuwa wanawake wanaweza wakaolewa hata kumi kwa mwanaume mmoja na kila mmoja wao akawa anamwamini mumewe?
 
Mbona mimi siwezi hata wawili tu, nikiona nimempata mtu mwingine ni heri huyu mwingine tumalizane kwa amani lakin lazima kuwa na sababu, yani mind yangu nimeiset hivyo

Dont be afarid of a dog that barks, be afraid of the one that is quite
 
Kingine ukiona mwanaume ana wanawake wengi na hawastukiani basi ujue jamaa mbabe sana na ni mtu serious sana unakuta mwenzake anashindwa hata kumchunguza au kuulizia vitu fulani

Dont be afarid of a dog that barks, be afraid of the one that is quite
 
Kumiliki wanawake wengi nao mtihani muda, pesa ukiongezea usumbufu wao basi tabu tupu ila sio jambo kubwa kama anagawa hela tu hata wakijuana wanakaushiana ili asioteshe nyasi bure na wao wako smart pia

mpuuzi mpuuzi tu
 
Hao wanawake watakua wahudumu..
Niliwahi kujaribu huo mchezo wa kumilikia madem wa4 aise kila siku ilikua ugomvi..
Walikuwa kama wachawi ikifika saa3 kila mmoja anataka kuongea namimi kwenye simu..
Nilikuwa nawadanganya ikabidi niwatengenezee ratiba bila wao kujijua mpaka nikachoka nikaamua kubaki na wawili
Hahahahahahah unajikondesha bureee kabisa kwanini upate tabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wanawake watakua wahudumu..
Niliwahi kujaribu huo mchezo wa kumilikia madem wa4 aise kila siku ilikua ugomvi..
Walikuwa kama wachawi ikifika saa3 kila mmoja anataka kuongea namimi kwenye simu..
Nilikuwa nawadanganya ikabidi niwatengenezee ratiba bila wao kujijua mpaka nikachoka nikaamua kubaki na wawili
Kk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mbona ni ngumu kumeza... Mi wawili tu nashindwa hapo lazima mmoja tushindwane sababu kuna mmoja wapo atakula 100% yangu mwingine 0% .. Na hiyo sifuri ndio itamkimbiza.

Hii kitu haiwezekani, otherwise wawe design ya ndoa za wenzetu upande wa pili..
 
Sasa na hao mabinti sita huwezi kujua nao wana michepuko yao mingapi, jamaa yako anajiona mjanja wakati anajiongezea uwezekano wa kupata ukimwi, na magonjwa mengine yanayotokana na kufanya ngono zembe.
 
Chain kubwa sana hiyo, vipi kama hao wadada nao kila mmoja ana wawili pembeni? Ujinga tu
 
Back
Top Bottom