Kuna Vitu Viwili Muhimu Unaweza Kugundua Kutoka Kwa Mbwa

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Kuna Vitu Viwili Muhimu Unaweza Kugundua Kutoka Kwa Mbwa

Kwanza Kabisa, Bado Kuna Mjadala Iwapo Mbwa ana Miguu Miwili na Mikono Miwili ama Ana Miguu Minne ama Yote Minne ni Mikono.....

Pili ni kwamba Muda Wote Mbwa wanapokuwa wamesimama mmoja kati ya miguu/mikono minne ya mbwa unakua umepinda......lakini wanasayansi wanasema kwamba japo mbwa ni mlinzi hodari lakini pia ni muoga sana hivyo wakati wote anakua mguu sawa tayari kusepa iwapo lolote litatokea ikiwa ni fursa ama hatari......inasemekana kwamba mbwa anaweza hata kukugeuka akikutana na mbabe ama mshikaji wake (kumbuka meno ya mbwa hayaumani)

mpaka hapo nadhani umepata picha ila kimsingi wanasiasa hucheza na propaganda ambazo kama hujasomea siasa utachezeshwa mdundiko ama singeli kila siku

Propaganda kuu za kisiasa ziko Tatu, Nyeupe (pale mwanasiasa anapoamua kukuambia ukweli tupu ingawa ukweli ni kwamba wanasiasa husema ukweli baada ya kung'atuka nyadhifa zao za kisiasa; Nyeusi (pale mwanasiasa anapoamua kukuambia uwongo tupu na Propaganda Kijivu ambapo kimsingi ni mchanganyiko wa nyeusi na nyeupe na hii ndio propaganda pendwa sana na wanasiasa Duniani na hasa wanasiasa waliobobea kwenye fani kama maprofesa nk............

kama ilivyo kwa mbwa ndivyo ilivyo kwa wanasiasa. Kwenye jarida la Royal Society Open Science,Wanasayansi wa Utaliano wanapanga kuchunguza zaidi uhusiano kati ya wanadamu na mbwa na msemo wa Bello mwana JF ni kwamba KITU PEKEE MWANASIASA ANACHOSEMA KWELI NI JINA LAKE TU na akipata fursa ama janga hata jina atadanganya ..........
 
Naona una kariri samari yko ya kozi ya political science...aina za siasa, sawa jiandae na test ndo mda wake huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom