The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 89
- 346
Eti mtoa mada, Nina maana ya kuwa gen z
Chagbt lgbt au chatGPT?Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali.
Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku install apps au ku rest simu.
Kijana hamjui Maduro wala hajui kinachoendelea Iran.
Kwa kifupi namaanisha mitandao inamtumia badala ya kuitumia yeye yaani yeye ni bidhaa kwenye soko la utandawazi, hakuna kitu asichokijua ambacho mzee hakijui.
Hakika kuna vijana sio maGenz
wewe, huyo anakimbilia uzee, hyo sio rika lako.Sio Lucas mwashambwa kweli?
Kuna point kama hii haina faida sana kwenye maisha ya huyo kijana ajue asijue hakuna ulazimaKijana hamjui Maduro wala hajui kinachoendelea Iran.
πππππHapo kwenye elimu nzuri nakataa,hao wana elimu ya hapa na pale!
πππππππMimi nipo sehemu ambayo kijana akisoma jambo lolote Facebook basi anahitimisha ni kweli .
Leo mmoja amekuja kwangu anagonga hodi kwa nguvu mambwa yanambwekea nikajiokota kitukuu cha mtume nikamsikilize mja wa Allah eti kamekaa hata nusu saa hakana hata muda kananiuliza kaka nimekuja kukuuliza eti nimeona Facebook raisi amekufa ,kuna jamaa wa mbeya mjini amepositi
Ikabidi nikajibu mimi sijui mpaka nipigiwe simu na walioko mjini eti kananibishia kabisa kuwa hapana amekufa nimekuja kukupa taarifa kaka .
Ikabidi nikubaliane kutokukubali hakajui mwenziye nashinda JF kwa watu wenye visomo vyao na taarifa zao ila kanakuja kunipa taarifa za Facebook.
Itoshe kusema kaka sikubishii vijana wa hivyo wapo sana hasa huku vijijini maendeleo hatuyapati maana hata waliomaliza vyuo bado wakirudi huku hawabadiliki zaidi ya kuvaa tai na suruali mpauko
Nagongelea msumari hoja hii.Ukiangalia gharama kubwa kwa vijana wanatumia kwenye kusuguana, Ila gharama ya nyeto n ndogo sana kuliko kugharamikia kupewa kisonono.
Bora nyeto kuliko mapenzi