The choosen one1
Member
- Dec 13, 2023
- 88
- 343
Unakuta kijana ana elimu nzuri tu na nidhamu ila hayuko familiar kabisa na maisha mengine ya kidijitali.
Kijana hajui kutumia word, hajui hata Chatgbt ni nini, kijana anapeleka simu kwa fundi ku install apps au ku rest simu.
Kijana hamjui Maduro wala hajui kinachoendelea Iran.
Kwa kifupi namaanisha mitandao inamtumia badala ya kuitumia yeye yaani yeye ni bidhaa kwenye soko la utandawazi, hakuna kitu asichokijua ambacho mzee hakijui.
Hakika kuna vijana sio maGenz